Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

Rudisha pesa zake kwanza ndo utangaze nia ya kumpotezea ama utajuta kula vya watu
 
Hela itawafanya watumwa, why?
Nikikumbuka na false alarm ulompa lekchara akataka kujilipa nadhani napata picha pana zaidi.
Unapenda kutumia watu kwa jinsi ya kike ila unakuwa hujajua where to stop.

Du Kongosho una kumbukumbu kweli kweli, hata mm nimekumbuka yule Lecture aliyembana kwenye Coursework akidai vitu kwanza tukahangaika kumpa ushuri wa kisheria.
sijui ali-Supp au Disco? maana leo anadai kumbe alilipiwa na mangi muuza Duka hichi Chuo si cha Serikali ni hivi vya ..
Kwa ushauri ninaompa ni kuolewa na huyo Mangi au ampe maana Lecture kamnyima
 
Me kwangu niliuona ni urafiki wa kawaida tu ingawa baadae jamaa alikuwa anaonesha kutaka mzigo......
Kwakweli nilikuwa nazila pesa zake lakin sasa mwenzangu akipiga cm mara aniite wife na vijimambo vingine....
Sasa nataka nimpotezee jamani,maana lengo lake kwangu ndoa.

Miss Strong u gotta be just that, strong! Huo mpunga alitoa mwenyewe wala hukumlazimisha so u don't owe the nigga jack squat! Don't feel guilty at all my dear. Kama humpendi humpendi tu so the sooner u end it the better. Hajakuoa anakupa masharti kwa sababu ya mpunga anaokupa. Sasa akikuoa si atakupangia mpaka chupi ya kuvaa. Gist is if u have any feelings for the dude then give him a chance but if u ain't feeling him u should bail out faster than a trick would. He seems to take u for a trophy girlfriend - one to brag to his buddies about. The best way to shut his loud pompous azz mouth is to end the relationship. But of course this will mean pulling the plug on the mpunga lifeline. Kama swali la mtihani ni section C maksi 25 ukipata una A ukikosa una C. Hehehe.
 
Eti hela alikuwa anatoa mwenyewe sikumuomba!!!!!!!! Hivi watoto wa dot com mnalelewaje??!! Unachukua tu hela ya mwanaume kwa kuwa umepewa bila kuomba?? How pathetic?
 
Mgirik ujhe myeeee......huo ndo ukweli simpendi jamani nimejitahidi kujifunza kupenda nimeshindwa kabisaaaa!!!!

Pesa ni jambo la kawaida si kanipa mwenyewe kwani nilimuomba????

kukosya ehson isaga kuno
 
Last edited by a moderator:
Ukwaju sija Supp wala Disco......chuo kinaendelea na maisha yanaendelea.Kumbe na wewe ulinipa msaada wa kisheria????Hongera kwa msaada huo......

Simuhitaji huyo Mangi wala Lecturer.....mpaka mtu nimpende mwenyewe ndo najisikia raha!!!!
 
Last edited by a moderator:
Duuh itakuwa ni balaaa......ila na iwe maana nimejaribu nimeshindwa!!!!

Ulikubali kuvipokea dada mpokee pia huyo mtoaji. Kama ulikuwa unafunga macho ukipokea, hata sasa funga macho umpe vyake ulivyoficha. Tena faster sana
 
Ulikubali kuvipokea dada mpokee pia huyo mtoaji. Kama ulikuwa unafunga macho ukipokea, hata sasa funga macho umpe vyake ulivyoficha. Tena faster sana

Nimejitahid nimeshindwa.....jamani huyu mtu hata ingekuwa wewe una dada usingekubali hebu jaribuni kunielewa!!!!
 
Unachekeshaje dada;
Pesa yake una hisia nayo;
Ila yeye huna hisia naye; ????
 
Nimejitahid nimeshindwa.....jamani huyu mtu hata ingekuwa wewe una dada usingekubali hebu jaribuni kunielewa!!!!

Umeshindwa nini? Kwanza alipokuja si ilikuwa mchana? Kama ana sura mbaya si ulimwona? Pili kama umesikia ana... futi moja si unamwomba apime urefu usiozidi 7? Mbona unatuzuga? Zawadi zake anamtuma mtu akuletee? Huna cha kujitetea, funga macho tuu usikilizie hiyo sindano hata xpen ni chungu lakini humaliza vimelea vya bacteria sawia.
 
miss strong ... are u serious?? au unachangamsha genge letu mami??
 
Last edited by a moderator:
Nipo serious nkamu......mshiko ulinichanganya alafu nikawa nampiga tarehe lakin naona mwenzangu ndo anataka kuuchukua mzigo.
Simpendi sio serious

Sasa dadangu kama kweli humpendi,,, vyake vya nini wewe....tindikali zimejaa mtaani dada,,, ataharibu reception kimya kimya............na hilo unalo pesa ya "MANGI" mbutaaaa...
 
Nipo serious nkamu......mshiko ulinichanganya alafu nikawa nampiga tarehe lakin naona mwenzangu ndo anataka kuuchukua mzigo.
Simpendi sio serious

shemeji Mwita Maranya anayajua haya unayomfanyia? au unatafuta sababu za kupewa kichapo heavy!
 
Last edited by a moderator:
Unasema songoro wake ndio humpendi ?kwani yukoje huyo songoro?hajatahiriwa?ni mkubwa sana?ni mdogo sana au yukoje huyo songoro au dusheshe?
 
Wachaga njooni huku shemeji yenu au wifi yenu hampendi kaka yenu ....................!:A S 13:

Labda hamfikishi kwenye kichuguuu ...........!:flame:
 
Mdogo wangu umetutia aibu lol! Ningekuwa karibu ningekufinya hiyo mbunye! Uroho gani huo? Pesa unakula halafu hakuna returns lol! Umemuonea mchaga wa watu.
Nimechukia siyo siri, kama huna malengo na mtu usimpotezee muda na resources zake.
Yaani ukimuacha uta search ndoa wewe mpaka kwa kalumanzila. Fikiria mara 2!

kweli kabisa
 
Back
Top Bottom