Dr.Mo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 3,809
- 1,648
Ngoja niongee tena...kwanza mimi napita huku naona jina lako...nlikuwa naona una busara kweli kumbe hamnazo kabisa....im no person lakini nachukia sana wanawake cheap minded...unamwacha mtu paka anakuita mke kwa sababu ya hela....who know mtu kama wewe hata ukiolewa na jamaa akawa akatetereka kidogo...utaliwa nje kwa sababu ya hela.... coz ndo inner mind uloyo nayo....HASARA KWELI...