Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

miss strong:nilikuwa migombani baada ya kusikia kelele kitaa nikaona isiwe taabu nitoke tu nione kunanini? Kumbe ni wewe wapigiwa mbinja...?

Yaani eti niolewe nae hivyo hivyo!!!!!lol siwez maana nimejitahid lakin nimeshindwa......acha tu iwe hivyo hivyo!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nipo serious nkamu......mshiko ulinichanganya alafu nikawa nampiga tarehe lakin naona mwenzangu ndo anataka kuuchukua mzigo.
Simpendi sio serious
Ni vizuri kuwa mkweli, stori yako inafanana na ndoa ya zanzibar na tanganyika
 
Hela itawafanya watumwa, why?

Nikikumbuka na false alarm ulompa lekchara akataka kujilipa nadhani napata picha pana zaidi.

Unapenda kutumia watu kwa jinsi ya kike ila unakuwa hujajua where to stop.

Hajui mipaka yake
 
laana ya lecturer inaanza kukutafuna, watu wengine hatutukanwi hovyo angalia sana miss strong!

Umetukanwa kwa ID gani????maana hata sijakuelewa alafu hakuna laana ya huyo uliyemtaja juu yangu!!!!
Huo ndo ukweli!!!!
 
Habari zenu JF........
Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.

Anatoa huduma zote kwangu kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli.

Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila sijui nitumie njia gani.(pesa ilinoga)

Pia kinachonikera jamani jamaa huyu anatangaza maeneo ya hom kwamba me ni mtu wake tena kwa vitendo.......
Ukiongea nae kwenye simu anakwenda eneo la watu wanaonifahamu basi ananitaja jina kwa jina......

Nikitoka hom akiniona tu bas atapiga simu mbele za watu......eeeh hallo nakuona ndo unatoka mke wangu,bora tukakutane mbele kwa mbele huku wazushi wengi lol!!!!!!

Sina raha kabisaaaaa na huyu mtu zaid ya zile pesa lakin sasa baaaassssiii sitaki tena maana mpaka sisimizi nahis anasimuliwa.

Aliniambia anavumilia mpaka ndoa ila akigundua kuna mtu anakula mzigo basi atafanya kitu mbaya.

Ennie njoo ujionee huku hili balaa.......Naombeni ushaur nimwambieje jaman maana mwenzangu katangaza kwao kote,tena wamepanga harusi itakuwa Moshi na ndoa kabla ya kombe la dunia teh teh teh.....

lara 1 Heaven on earth Munkari, Kaizer, christine ibrahim, Baba V, Madame B, watu8, Nivea, Mamndenyi, Mshinga, wakyagara wakinyora, neggirl, Ablessed, GreenCity na wengineo wote jamani...........

dah,yaani umemaliza kuzichanga weeeeeeee,sa hizi ndo unamuona jamaa boya.walimwengu bana kaazi kwelikweli,
 
Unavyosema nimezichanga kama nimefungua duka vile......jamani sikuomba.Anapiga simu mwenyewe,anatuma pesa mwenye sura yangu yaweza fika hata miez 8 hajaiona kwani yeye hana mtu au kutafutiana lawama!!!!!
 
Kongosho

Nikikumbuka na false alarm ulompa lekchara akataka kujilipa nadhani napata picha pana zaidi.

Unapenda kutumia watu kwa jinsi ya kike ila unakuwa hujajua where to stop.

kalou Hapa na-connect dots tu
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu JF........
Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.

Anatoa huduma zote kwangu kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli.

Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila sijui nitumie njia gani.(pesa ilinoga)

Pia kinachonikera jamani jamaa huyu anatangaza maeneo ya hom kwamba me ni mtu wake tena kwa vitendo.......
Ukiongea nae kwenye simu anakwenda eneo la watu wanaonifahamu basi ananitaja jina kwa jina......

Nikitoka hom akiniona tu bas atapiga simu mbele za watu......eeeh hallo nakuona ndo unatoka mke wangu,bora tukakutane mbele kwa mbele huku wazushi wengi lol!!!!!!

Sina raha kabisaaaaa na huyu mtu zaid ya zile pesa lakin sasa baaaassssiii sitaki tena maana mpaka sisimizi nahis anasimuliwa.

Aliniambia anavumilia mpaka ndoa ila akigundua kuna mtu anakula mzigo basi atafanya kitu mbaya.

Ennie njoo ujionee huku hili balaa.......Naombeni ushaur nimwambieje jaman maana mwenzangu katangaza kwao kote,tena wamepanga harusi itakuwa Moshi na ndoa kabla ya kombe la dunia teh teh teh.....

lara 1 Heaven on earth Munkari, Kaizer, christine ibrahim, Baba V, Madame B, watu8, Nivea, Mamndenyi, Mshinga, wakyagara wakinyora, neggirl, Ablessed, GreenCity na wengineo wote jamani...........

Miss strong...be strong!
 
Back
Top Bottom