sio kila mwanamke ni lazima aolewe....and by any means akitaka ana hiari ya kuolewa na anayemtaka sio mtu yeyote tu.....kama ni hela mwache azitoe mbona kanisani tunatoa lol ukisema menopause ina maana waliolewa hawatakumbwa na hio dhahma au?...nimeona mahali nadhani yahoo news wanawake waliolewa au walio kny long term relationship wanazeeka haraka kuliko wanawake walioamua kuwa single..........watu kama ninyi hamna mbio kwenye mchanga....... wewe mwache halafu keshokutwa tutakuona humu jaman I need a serious Husband .......ohh ni PM mnajifanyaga kama wa maana kumbe hamna lolote!by the way mwanaume hata uwe mbaya vipi utaoa tu/utapata mwanamke wa kuishiii naye bt kwa taarifa yako ninyi wadada mkifika 29 ikiwa bilabila ndio hapo mnapoonaga manyoya na unaanza kuzeeeka mapema kwa stress; wakati wadada wenzako wanalilia kuolewa.... eti wewe unajifanya unachagua???????????wewe unauwezo wa kuchagua??????ngoja MENOPAUSE ikukute ukiwa unatoaaa macho labda uendeee bagamoyo au Tanga......
^^
Pasingekuwa na ban ungejua side B yangu
^^
msukumizie huku....nahitaji skul fees mie inaelekea he is soo generous LOL
msukumizie huku....nahitaji skul fees mie inaelekea he is soo generous LOL
Punguza hasira mkuu,msamehe bure
Asamehe kwa lipi ndugu yangu....akitaka amchukue yeye kama anajisikia uchungu!!!
Siamini kama lugha ulio tumia hapo ni sahihi
miss strong:nilikuwa migombani baada ya kusikia kelele kitaa nikaona isiwe taabu nitoke tu nione kunanini? Kumbe ni wewe wapigiwa mbinja...?Teh teh teh umetokea wapi jamani????
miss strong:nilikuwa migombani baada ya kusikia kelele kitaa nikaona isiwe taabu nitoke tu nione kunanini? Kumbe ni wewe wapigiwa mbinja...?
Shost pesa hakuna lingine....napenda kusema ukweli mie ingawa jamaa anataka ndoa na ni mtu mzima shost kanipita miaka kama 14 lol.Maliza uje
miss strong:....Yaani eti niolewe nae hivyo hivyo!!!!!lol siwez maana nimejitahid lakin nimeshindwa......acha tu iwe hivyo hivyo!!!!
msukumizie huku....nahitaji skul fees mie inaelekea he is soo generous LOL