kibella24
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 677
- 158
Mwambie ukweli tu usimfiche kitu, ila mueleze kwa lugha nzuri atakuelewa tu hata km itachukua muda, huna haja yakuendelea kumpotezea muda wake na wewe kupoteza wako pia. Mapenzi hayalazimishwi. ila ukome kupenda kula vya watu, siku moja vitakutokea puani!