Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

Nipo serious nkamu......mshiko ulinichanganya alafu nikawa nampiga tarehe lakin naona mwenzangu ndo anataka kuuchukua mzigo.
Simpendi sio serious
eti uko serious hutaki mshikaji wangu... vke unakula... rudisha kwanza!
 
Sikutishii, siku unampiga chini, apige mahesabu ya ulichomchukulia, hama mji usiku tena nenda kinyumenyume akikutana nawe kwa bahati mbaya umwambie ulikuwa safari unarudi home.
Chezea mchuzi wa mchaga wewe, atakupiga kisu na kikivunjika umlipe kisu chake.

Duuh itakuwa ni balaaa......ila na iwe maana nimejaribu nimeshindwa!!!!
 
Mpe namba zangu z a tigopesa atume "ingwamba"..
 
Hii mambo isinitokee kwangu maana nitaua mtu nakuishia gerezani....Aisee huwezi kula pesa yangu kisen.ge kise.nge halafu uniletee za kuleta, ohhh sijui sina feeling na blah blah kama izo......

Huyo jamaa lazima atakutafuta tuu akufanyizie....Utajuta.....Bora ungempa mautamu atleast aonje...Kumbe hata hujampa huku unamlia hela zakee?

Aonje kwani mboga hii kusema chumv imekolea au laah!!!!!!
Me sikumuomba jamani.....yeye ni mtu mzima una hakika gani ndani ya miaka hiyo kama alikuwa ananisubiria mimi?????
Me naona simpend hata dushe lake sintolifurahia......
 
Mpe namba zangu z a tigopesa atume "ingwamba"..

Ujhobile sya mahala........teh teh teh,maana mpaka imekuwa kama nauza bangi kwa wasi wasi nilio nao lol!!!!!
Mmbibhi kumaso......asyele.kaka njoo huku IGWE
 
Last edited by a moderator:
Mtakwa akitakiwa hataki anapotaka hatakiwi! Ukipenda usikopendwa utapondwa tu!
 
Bhana ya Mungu mengi.....alafu ukikaa nae anaongea mipango yakizushi yaani mipango mingiiiii me simtaki bwana.

Yaani ukimwangalia jinsi alivyo na vijisent anazomiliki tofaut yan bwana me sitaki,najitahid mwenzenu nashindwa.Siku moja aliniambia i lov u kwa kiingereza bas sijui akaitamkaje yani nilipata maudhi......sijui hata nielezeje!!!!

wewe unadharau,subiri u turn 30 halafu huna mwanaume wakueleweka utaikumbuka hiyo i love u.
 
Habari zenu JF........
Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.

Anatoa huduma zote kwangu kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli.

Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila sijui nitumie njia gani.(pesa ilinoga)

Pia kinachonikera jamani jamaa huyu anatangaza maeneo ya hom kwamba me ni mtu wake tena kwa vitendo.......
Ukiongea nae kwenye simu anakwenda eneo la watu wanaonifahamu basi ananitaja jina kwa jina......

Nikitoka hom akiniona tu bas atapiga simu mbele za watu......eeeh hallo nakuona ndo unatoka mke wangu,bora tukakutane mbele kwa mbele huku wazushi wengi lol!!!!!!

Sina raha kabisaaaaa na huyu mtu zaid ya zile pesa lakin sasa baaaassssiii sitaki tena maana mpaka sisimizi nahis anasimuliwa.

Aliniambia anavumilia mpaka ndoa ila akigundua kuna mtu anakula mzigo basi atafanya kitu mbaya.

Ennie njoo ujionee huku hili balaa.......Naombeni ushaur nimwambieje jaman maana mwenzangu katangaza kwao kote,tena wamepanga harusi itakuwa Moshi na ndoa kabla ya kombe la dunia teh teh teh.....

lara 1 Heaven on earth Munkari, Kaizer, christine ibrahim, Baba V, Madame B, watu8, Nivea, Mamndenyi, Mshinga, wakyagara wakinyora, neggirl, Ablessed, GreenCity na wengineo wote jamani...........

ndio matatzo yenu watoto wa vyuo tamaa mbele kumbe jamaa humpend unapenda pesa zake!? Angalia ucje ukatoa machoz ya dam. Ningekuwa mm ndo Mangi ningekufanya mbaya ---- u
 
Last edited by a moderator:
Hicho ndicho kinachowaponza wasichana wengi..kwanini mnaweka hela mbele kuliko kitu kingine.mh mnakazi kweli kuwa makini utapata mwingine atakuwa anakupa kama huyo utamkumbuka halafu umrudie..ni maoni yangu tu

ndio maana walio weng wajazwa mimba, wameambukizwa virus na wengne wameliwa 0713 yote hayo 7bu ya kupenda vya bure
 
Kumbe miss strong n malaya ulie kubuhu. "Bhikugwisya itoro" ipo sku utaijutia nafsi yako endelea kumchuna ndo utakuja jua kuwa jasho la mtu halipotei hvi hvi...... Hebu Christine Ibrahm mpe somo mwanampotevu huyu
 
^^
Leo utakubali maneno yangu kuchanganya pesa katika upendo ni udhalimu mkubwa hata mbele za Mungu
Nyie ndo wanawake!!
^^

Himidini sina hata la kuongea. Huyu hakumpenda tangu mwanzo ila yeye alimfanya punda ambebee sembe akishamfikishia anapotaka anambwaga. Na pengine alidhani atajifunza kumpenda with time. huwa inatokeaga. Ila sasa frequencies zimegoma kabisa..
Hakuna ubaya kumpenda mtu mwenye pesa. Ubaya ni pale unapoitumia pesa ya mtu ilhali moyoni mwako unajua kabisa humpendi ni buzi tu! Ni sawa na utapeli.
 
Habari zenu JF........
Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.

Anatoa huduma zote kwangu kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli.
Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila sijui nitumie njia gani.(pesa ilinoga)

Pia kinachonikera jamani jamaa huyu anatangaza maeneo ya hom kwamba me ni mtu wake tena kwa vitendo.......
Ukiongea nae kwenye simu anakwenda eneo la watu wanaonifahamu basi ananitaja jina kwa jina......

Nikitoka hom akiniona tu bas atapiga simu mbele za watu......eeeh hallo nakuona ndo unatoka mke wangu,bora tukakutane mbele kwa mbele huku wazushi wengi lol!!!!!!

Sina raha kabisaaaaa na huyu mtu zaid ya zile pesa lakin sasa baaaassssiii sitaki tena maana mpaka sisimizi nahis anasimuliwa.

Aliniambia anavumilia mpaka ndoa ila akigundua kuna mtu anakula mzigo basi atafanya kitu mbaya.

Ennie njoo ujionee huku hili balaa.......Naombeni ushaur nimwambieje jaman maana mwenzangu katangaza kwao kote,tena wamepanga harusi itakuwa Moshi na ndoa kabla ya kombe la dunia teh teh teh.....

lara 1 Heaven on earth Munkari, Kaizer, christine ibrahim, Baba V, Madame B, watu8, Nivea, Mamndenyi, Mshinga, wakyagara wakinyora, neggirl, Ablessed, GreenCity na wengineo wote jamani...........

Bora umekula vya watu Miss srtong hauna namna na vyako pia vitaliwa tu tena labda uombe ulinzi wa polisi la sivyo usithinbutu kumpiga cha mbavu!! haa haaa!!
 
Hela itawafanya watumwa, why?

Nikikumbuka na false alarm ulompa lekchara akataka kujilipa nadhani napata picha pana zaidi.

Unapenda kutumia watu kwa jinsi ya kike ila unakuwa hujajua where to stop.

Right ;and it was a created scene ndo mana kutoa ushauri kwa kusikiliza upande mmoja bila kusikiliza upande was pili ni hatari sana
 
Habari zenu JF........Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.Anatoa huduma zote kwangu kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli.Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila sijui nitumie njia gani.(pesa ilinoga)Pia kinachonikera jamani jamaa huyu anatangaza maeneo ya hom kwamba me ni mtu wake tena kwa vitendo.......Ukiongea nae kwenye simu anakwenda eneo la watu wanaonifahamu basi ananitaja jina kwa jina......Nikitoka hom akiniona tu bas atapiga simu mbele za watu......eeeh hallo nakuona ndo unatoka mke wangu,bora tukakutane mbele kwa mbele huku wazushi wengi lol!!!!!!Sina raha kabisaaaaa na huyu mtu zaid ya zile pesa lakin sasa baaaassssiii sitaki tena maana mpaka sisimizi nahis anasimuliwa.Aliniambia anavumilia mpaka ndoa ila akigundua kuna mtu anakula mzigo basi atafanya kitu mbaya. Ennie njoo ujionee huku hili balaa.......Naombeni ushaur nimwambieje jaman maana mwenzangu katangaza kwao kote,tena wamepanga harusi itakuwa Moshi na ndoa kabla ya kombe la dunia teh teh teh..... lara 1 Heaven on earth Munkari, Kaizer, christine ibrahim, Baba V, Madame B, watu8, Nivea, Mamndenyi, Mshinga, wakyagara wakinyora, neggirl, Ablessed, GreenCity na wengineo wote jamani...........
..........watu kama ninyi hamna mbio kwenye mchanga....... wewe mwache halafu keshokutwa tutakuona humu jaman I need a serious Husband .......ohh ni PM mnajifanyaga kama wa maana kumbe hamna lolote!by the way mwanaume hata uwe mbaya vipi utaoa tu/utapata mwanamke wa kuishiii naye bt kwa taarifa yako ninyi wadada mkifika 29 ikiwa bilabila ndio hapo mnapoonaga manyoya na unaanza kuzeeeka mapema kwa stress; wakati wadada wenzako wanalilia kuolewa.... eti wewe unajifanya unachagua???????????wewe unauwezo wa kuchagua??????ngoja MENOPAUSE ikukute ukiwa unatoaaa macho labda uendeee bagamoyo au Tanga......
 
Nae ndo anasema hivyo hivyo yani kuwa anataka watoto n.k......sasa mimi namuona kama wa ajabu vile jamani!!!!!
Akitaka kunigusa mkono bas napiga kelele kama sijui nyokaaa.....yaani mwenzenu namuona mzee yaan namuona wa ajabu.
Mtanisamehe jaman....safar ya ndoa ngumu

Miss Strong unajua kwa nn watu wanaku attack? Hakuna tatizo kwa kutokuwa na hisia na huyo mbaba. Tatizo ni kwa nn umemtapeli kutoka mwanzo, ukaruhusu uhusiano na wewe, ukakubali kutambulishwa kwa rafiki na jamaa kama mke mtarajiwa, akaacha hata kusearch mchumba mwingine, akiamini wewe utakuwa mkewe, tena aka invest kwako emotionally and financially.
Unaonaga tunavowabanaga wanaume wanaokuja na thread za kuwabwaga mabinti baada ya kuwatumia wapendavyo?
Sidhani kama ungependa ikutokee hivyo mdada.
 
msukumizie huku....nahitaji skul fees mie inaelekea he is soo generous LOL
 
Back
Top Bottom