Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

Aaahaa kumbe ni wewe ndo unaesababisha bro kamtelekeza sister angu ? na ulivo shingo ndefu naenda muonyesha hii sredi yko! aisee we Snura kweli,

Hajaoa......sista wako si aliolewa na yule jamaa mshona viatu kilalacha????
Sasa huyu ni mfanyabiashara lakin sio hiyo!!!!!
 
Mmmh pole sana. Ndoa ni jambo la heshima na linapaswa kuheshimiwa. Si vema kuingia kwenye maisha ya ndoa na mtu kama hukumpenda kumbuka maisha ya ndoa ni ya kudumu yaani unaeingia nae huko ni mpaka kifo kiwatenganishe. Sasa usimkubali mtu kwa kumhurumia au kuona aibu kumwambia ukweli. Mdogo wangu ktk hili inaonyesha wewe ulifanya makosa toka mwanzo na hasa ya kujiachia mpaka mtu kuanza kujitangazia na hata kukupa huduma kumbuka there is no free lunch in America. Ushauri wangu mwambie wazi huyo ndugu hata kama ataumia, tafuta njia yoyote umweleze ukweli kwamba hauko tayari kuolewa nae kwani umegundua hamuendani.
 
Habari zenu JF........
Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.

Anatoa huduma zote kwangu kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli.

Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila sijui nitumie njia gani.(pesa ilinoga)

Pia kinachonikera jamani jamaa huyu anatangaza maeneo ya hom kwamba me ni mtu wake tena kwa vitendo.......
Ukiongea nae kwenye simu anakwenda eneo la watu wanaonifahamu basi ananitaja jina kwa jina......

Nikitoka hom akiniona tu bas atapiga simu mbele za watu......eeeh hallo nakuona ndo unatoka mke wangu,bora tukakutane mbele kwa mbele huku wazushi wengi lol!!!!!!

Sina raha kabisaaaaa na huyu mtu zaid ya zile pesa lakin sasa baaaassssiii sitaki tena maana mpaka sisimizi nahis anasimuliwa.

Aliniambia anavumilia mpaka ndoa ila akigundua kuna mtu anakula mzigo basi atafanya kitu mbaya.

Ennie njoo ujionee huku hili balaa.......Naombeni ushaur nimwambieje jaman maana mwenzangu katangaza kwao kote,tena wamepanga harusi itakuwa Moshi na ndoa kabla ya kombe la dunia teh teh teh.....

lara 1 Heaven on earth Munkari, Kaizer, christine ibrahim, Baba V, Madame B, watu8, Nivea, Mamndenyi, Mshinga, wakyagara wakinyora, neggirl, Ablessed, GreenCity na wengineo wote jamani...........
yaani mtu ame-invest muda wote huo halafu umwambie hamna profit?????
huyo jamaa anatakiwa aondoke na hiyo shingo ndo itakua fundisho kwa wenye tabia kama hiziiii...si ajabu watu wamesuffer kwa ajili yako we upewe halafu utuletee story za kiivyo. kama huyo jamaa ni broo wangu ningeandaa mtoto na sufuria alete nyama yako tuchemshe angalau turudishe majasho mdogo mdogo..
 
Ndoa si ngumu mdogo wangu..unavyotaka iwe ndivyo itakavyo kuwa..uwezi kumkuta mtu anakunywa ukamwambia aache wakati umemkuta hivyo...tatizo lenu mnaishi kwa kuangalia movie kwenye ndoa ni maelewano tu..
 
Mmmh pole sana. Ndoa ni jambo la heshima na linapaswa kuheshimiwa. Si vema kuingia kwenye maisha ya ndoa na mtu kama hukumpenda kumbuka maisha ya ndoa ni ya kudumu yaani unaeingia nae huko ni mpaka kifo kiwatenganishe. Sasa usimkubali mtu kwa kumhurumia au kuona aibu kumwambia ukweli. Mdogo wangu ktk hili inaonyesha wewe ulifanya makosa toka mwanzo na hasa ya kujiachia mpaka mtu kuanza kujitangazia na hata kukupa huduma kumbuka there is no free lunch in America. Ushauri wangu mwambie wazi huyo ndugu hata kama ataumia, tafuta njia yoyote umweleze ukweli kwamba hauko tayari kuolewa nae kwani umegundua hamuendani.
kama hakumpenda hela zake alichukua za nn?
 
Ndoa si ngumu mdogo wangu..unavyotaka iwe ndivyo itakavyo kuwa..uwezi kumkuta mtu anakunywa ukamwambia aache wakati umemkuta hivyo...tatizo lenu mnaishi kwa kuangalia movie kwenye ndoa ni maelewano tu..

Kwahiyo wanishaur niende hivyo hivyo????alafu ananiogopa hatari!!!
 
kama hakumpenda hela zake alichukua za nn?
Hiyo ndio shida ya mabinti wengi ni vizuri kuwa wazi toka day 1 na ni rahisi tu kumwambia mtu pamoja na urafiki wetu but no strings attached. Sasa leo hii kumwambia mtu haumpendi na ushakula vyake ni taabu mno hata kukuelewa. lkn kwa uzito wa ndoa yampasa amwambie ukweli na hata akidai pesa zake basi awe radhi kumlipa. Wengi wameingia kwenye ndoa sababu hii hii ya huduma wadada yawapasa kubadilika kuwa wazi toka day 1.
 
Hajaoa......sista wako si aliolewa na yule jamaa mshona viatu kilalacha????
Sasa huyu ni mfanyabiashara lakin sio hiyo!!!!!

Ni hivi yule mshona viatu sister alimuacha,ndo akaolewa n huyu Shemu ambae anafanya biashara ya kuasafirisha,ngurue toka iringa kuja dar,ila naona ka ameyumba kimtaji kumbe wewe jaman,Ka vip mi nna mvuto kweli kweli mrefu eeeh, shem si umesema ana kikwapa,mi nibebe mzigo kwa mkwanja alokuwa anakupa,Sistr ntamwambia aah kumbe wazushi tu,yule demu wangu,Shemu nae akijua mi ndo nakong'oli papuchi,ht kung'oa kucha na meno MISS STRONG,ila utaliwa tu na Wajanja kwa haka katabia kako,siku hiz wanapiga featuring samak samaki upo hapo?😕:screwy:
 
Habari zenu JF........
Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.

Anatoa huduma zote kwangu kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli.

Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila sijui nitumie njia gani.(pesa ilinoga)

Pia kinachonikera jamani jamaa huyu anatangaza maeneo ya hom kwamba me ni mtu wake tena kwa vitendo.......
Ukiongea nae kwenye simu anakwenda eneo la watu wanaonifahamu basi ananitaja jina kwa jina......

Nikitoka hom akiniona tu bas atapiga simu mbele za watu......eeeh hallo nakuona ndo unatoka mke wangu,bora tukakutane mbele kwa mbele huku wazushi wengi lol!!!!!!

Sina raha kabisaaaaa na huyu mtu zaid ya zile pesa lakin sasa baaaassssiii sitaki tena maana mpaka sisimizi nahis anasimuliwa.

Aliniambia anavumilia mpaka ndoa ila akigundua kuna mtu anakula mzigo basi atafanya kitu mbaya.

Ennie njoo ujionee huku hili balaa.......Naombeni ushaur nimwambieje jaman maana mwenzangu katangaza kwao kote,tena wamepanga harusi itakuwa Moshi na ndoa kabla ya kombe la dunia teh teh teh.....

lara 1 Heaven on earth Munkari, Kaizer, christine ibrahim, Baba V, Madame B, watu8, Nivea, Mamndenyi, Mshinga, wakyagara wakinyora, neggirl, Ablessed, GreenCity na wengineo wote jamani...........

ZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ.png

We endelea kula vya watu hiki kinakusubiri
 
Ndoa si ngumu mdogo wangu..unavyotaka iwe ndivyo itakavyo kuwa..uwezi kumkuta mtu anakunywa ukamwambia aache wakati umemkuta hivyo...tatizo lenu mnaishi kwa kuangalia movie kwenye ndoa ni maelewano tu..

Ndoa hailazimishwi huyu demu aache kula jasho la mwanaume
 
Mwanaume akipenda amependa tena wanaume hawa watu wazima balaa hata umwambie hasikii wala haelewi, mimi kuna baba nishamwambia kabisa kwamba simpendi lakini yupo tuu eti anasema anamuomba Mungu siku moja nitampenda, cha ajabu kila siku naongeza kumchukia sanasana nikimuona ndo namchukia zaidi, ila mimi sijakula hela yake sana. ni miaka zaidi ya mitatu sasa hachoki
 
Nipo serious nkamu......mshiko ulinichanganya alafu nikawa nampiga tarehe lakin naona mwenzangu ndo anataka kuuchukua mzigo.
Simpendi sio serious

Tutakusoma magazetini hivi karibuni! Ama rudisha pesa za watu - mwambie unaetaka dushelele yake akulipie - au subiri Mkikuyu wa Kitanzania akutangulize kuzimu!

Take your pick!
 
Ukwaju sija Supp wala Disco......chuo kinaendelea na maisha yanaendelea.Kumbe na wewe ulinipa msaada wa kisheria????Hongera kwa msaada huo......
Simuhitaji huyo Mangi wala Lecturer.....mpaka mtu nimpende mwenyewe ndo najisikia raha!!!!
Hongera kwa kuifuta nafsi, mpende akupendae na usijikhalifishe Roho yako mpe vyote (Bwagamoyo) lakini hujatutajia!!!?
Mimi ninacho kiKuku changu cha kienyeji kiko huku kwetu mitaa ya usazwi, ni hicho pekee ndio kinaweza nipa barafu la Moyo hawa wengine na npesa zao huwa nawanywea nikimaliza kazi walizonituma nakakumbuka hako ka-Spring Chicken
Halafu mmefanana ingawa kenyewe hakajasoma km ww
avatar91495_1.gif
 
We mpe haki yake sasa hizo pesa utazitapika wapi?!,shauri yako.
 
Habari zenu JF........
Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.

Anatoa huduma zote kwangu kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli.

Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila sijui nitumie njia gani.(pesa ilinoga)

Pia kinachonikera jamani jamaa huyu anatangaza maeneo ya hom kwamba me ni mtu wake tena kwa vitendo.......
Ukiongea nae kwenye simu anakwenda eneo la watu wanaonifahamu basi ananitaja jina kwa jina......

Nikitoka hom akiniona tu bas atapiga simu mbele za watu......eeeh hallo nakuona ndo unatoka mke wangu,bora tukakutane mbele kwa mbele huku wazushi wengi lol!!!!!!

Sina raha kabisaaaaa na huyu mtu zaid ya zile pesa lakin sasa baaaassssiii sitaki tena maana mpaka sisimizi nahis anasimuliwa.

Aliniambia anavumilia mpaka ndoa ila akigundua kuna mtu anakula mzigo basi atafanya kitu mbaya.

Ennie njoo ujionee huku hili balaa.......Naombeni ushaur nimwambieje jaman maana mwenzangu katangaza kwao kote,tena wamepanga harusi itakuwa Moshi na ndoa kabla ya kombe la dunia teh teh teh.....

lara 1 Heaven on earth Munkari, Kaizer, christine ibrahim, Baba V, Madame B, watu8, Nivea, Mamndenyi, Mshinga, wakyagara wakinyora, neggirl, Ablessed, GreenCity na wengineo wote jamani...........

Kama ni kweli jiandae kulipa.lakini kama ulikuwa unataka uweke hapa kisha uone comment za wwtu then ukafanye,nakushauri kabisa acha usithubutu.
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume akipenda amependa tena wanaume hawa watu wazima balaa hata umwambie hasikii wala haelewi, mimi kuna baba nishamwambia kabisa kwamba simpendi lakini yupo tuu eti anasema anamuomba Mungu siku moja nitampenda, cha ajabu kila siku naongeza kumchukia sanasana nikimuona ndo namchukia zaidi, ila mimi sijakula hela yake sana. ni miaka zaidi ya mitatu sasa hachoki

Tena ving'ang'aniz na kujifanya hawana meno wanataka mahindi machanga lol!!!!!
 
Hongera kwa kuifuta nafsi, mpende akupendae na usijikhalifishe Roho yako mpe vyote (Bwagamoyo) lakini hujatutajia!!!?
Mimi ninacho kiKuku changu cha kienyeji kiko huku kwetu mitaa ya usazwi, ni hicho pekee ndio kinaweza nipa barafu la Moyo hawa wengine na npesa zao huwa nawanywea nikimaliza kazi walizonituma nakakumbuka hako ka-Spring Chicken
Halafu mmefanana ingawa kenyewe hakajasoma km ww
avatar91495_1.gif

Moyo ndo kila kitu.....nimejitahid lakin nimeshindwa yaan nikimuona naona kama nimekutana sijui na balaaa gani.
Daaah ama kweli moyo nyie acheni tu........
 
Mashemeji zangu GreenCity na bombom bila kumsahau mwenye kigoda Baba V na mpambe nuksi Bujibuji naombeni dikshenari ya kinyakikishi hapa fasta. Naona hii nyumba ndogo yangu miss strong inanipoteza kabisa frequency.
Mwita Maranya, pole sana, huyu miss strong anasema kisha kuweka kwenye chupa, wewe, mkeo mwaJ, mwanao Zion Daughter na ndugu zako wote wa Musoma mnahema juu juu ndani ya chupa, sijui ni nani atakaye waokoeni.
Labda umuombe Mtambuzi awe Mesiya wako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom