Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

miss strong

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
7,012
3,694
Habari zenu JF........
Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.

Anatoa huduma zote kwangu kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli.

Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila sijui nitumie njia gani.(pesa ilinoga)

Pia kinachonikera jamani jamaa huyu anatangaza maeneo ya hom kwamba me ni mtu wake tena kwa vitendo.......
Ukiongea nae kwenye simu anakwenda eneo la watu wanaonifahamu basi ananitaja jina kwa jina......

Nikitoka hom akiniona tu bas atapiga simu mbele za watu......eeeh hallo nakuona ndo unatoka mke wangu,bora tukakutane mbele kwa mbele huku wazushi wengi lol!!!!!!

Sina raha kabisaaaaa na huyu mtu zaid ya zile pesa lakin sasa baaaassssiii sitaki tena maana mpaka sisimizi nahis anasimuliwa.

Aliniambia anavumilia mpaka ndoa ila akigundua kuna mtu anakula mzigo basi atafanya kitu mbaya.

Ennie njoo ujionee huku hili balaa.......Naombeni ushaur nimwambieje jaman maana mwenzangu katangaza kwao kote,tena wamepanga harusi itakuwa Moshi na ndoa kabla ya kombe la dunia teh teh teh.....

lara 1 Heaven on earth Munkari, Kaizer, christine ibrahim, Baba V, Madame B, watu8, Nivea, Mamndenyi, Mshinga, wakyagara wakinyora, neggirl, Ablessed, GreenCity na wengineo wote jamani...........
 
Last edited by a moderator:
Mbona naona kama haupo serious?

Nipo serious nkamu......mshiko ulinichanganya alafu nikawa nampiga tarehe lakin naona mwenzangu ndo anataka kuuchukua mzigo.
Simpendi sio utani ujue
 
Lakini si unajua ukikubali kula vya watu na wewe lazima uliwe kidogo ama sana tu,sidhani kama jamaa anatoa huduma burebure tena mchaga haya ngoja wengine waje

Ndo nataka kupiga chini alafu sasa hatuendani kabisaaaa ingawa anatoa mpunga kishenzi!!!!
 
Nipo serious nkamu......mshiko ulinichanganya alafu nikawa nampiga tarehe lakin naona mwenzangu ndo anataka kuuchukua mzigo.
Simpendi sio serious

Umesema una mahusiano ya kawaida...hizo habari za kupenda na kupendwa zinatoka wapi sasa?

Je ukiwa na mahusiano ya kawaida na mwanaume, mali na hela zake zinahusiana vipi na wewe?

Bado naamini hapa kuna porojo tu unataka tubwabwaje...
 
Nipo serious nkamu......mshiko ulinichanganya alafu nikawa nampiga tarehe lakin naona mwenzangu ndo anataka kuuchukua mzigo.
Simpendi sio utani ujue

rekebisha kauli zako bana,...kijana mwenzetu huyo wamgeuza -----,.. Na bado wapokea huduma?
 
Sijui nikushauri nini? Ila ngoja-ilikuwaje ukawa naye karibu huku hauna hisia naye?ama ndo hizo pesa?inamana hadi amefikia hatua ya kuweka mambo wazi inamaana wewe ndo UMEMPA HUO MWANYA kwa njia yoyote ile!! Hapo ndo ulipokosea...ngoja napika kwanza nkimalza ntakwambia cha kufanya...
 
Hicho ndicho kinachowaponza wasichana wengi..kwanini mnaweka hela mbele kuliko kitu kingine.mh mnakazi kweli kuwa makini utapata mwingine atakuwa anakupa kama huyo utamkumbuka halafu umrudie..ni maoni yangu tu
 
Umesema una mahusiano ya kawaida...hizo habari za kupenda na kupendwa zinatoka wapi sasa?

Je ukiwa na mahusiano ya kawaida na mwanaume, mali na hela zake zinahusiana vipi na wewe?

Bado naamini hapa kuna porojo tu unataka tubwabwaje...

Me kwangu niliuona ni urafiki wa kawaida tu ingawa baadae jamaa alikuwa anaonesha kutaka mzigo......
Kwakweli nilikuwa nazila pesa zake lakin sasa mwenzangu akipiga cm mara aniite wife na vijimambo vingine....
Sasa nataka nimpotezee jamani,maana lengo lake kwangu ndoa.
 
Huyo umpendi, ungempenda wewe ungekuwa wakwanza kumtangaza.
Pia yawezekana kabisa jamaa kwenye mambo fulani siyo fundi.
Mimi nakushauri usimwache, kuwa mwalimu wake, umuambie vitu ambavyo uvipendi yeye afanye vinavyo kuboa.
Kwa mtazamo wa haraka haraka mangi kakuzimia ila wewe utundu wako ulioufanya umegundua mangi akidhi vigezo fulani.

Swali langu kwako
Vipi upande wa pencel yake ikiingia kwenye kichongeo inafika mwisho na kubana nyanja zote?
 
Sijui nikushauri nini? Ila ngoja-ilikuwaje ukawa naye karibu huku hauna hisia naye?ama ndo hizo pesa?inamana hadi amefikia hatua ya kuweka mambo wazi inamaana wewe ndo UMEMPA HUO MWANYA kwa njia yoyote ile!! Hapo ndo ulipokosea...ngoja napika kwanza nkimalza ntakwambia cha kufanya...

Shost pesa hakuna lingine....napenda kusema ukweli mie ingawa jamaa anataka ndoa na ni mtu mzima shost kanipita miaka kama 14 lol.Maliza uje
 
Huyo umpendi, ungempenda wewe ungekuwa wakwanza kumtangaza.
Pia yawezekana kabisa jamaa kwenye mambo fulani siyo fundi.
Mimi nakushauri usimwache, kuwa mwalimu wake, umuambie vitu ambavyo uvipendi yeye afanye vinavyo kuboa.
Kwa mtazamo wa haraka haraka mangi kakuzimia ila wewe utundu wako ulioufanya umegundua mangi akidhi vigezo fulani.

Swali langu kwako
Vipi upande wa pencel yake ikiingia kwenye kichongeo inafika mwisho na kubana nyanja zote?

Sijawahi hata kumbusu sembuse hilo dushelele.....yaani akiniita sehemu nanyoosha mkono nachukua changu then nasepa.Labda damu yangu haiendani!!!!
 
Back
Top Bottom