Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

WOMEN...................... MEN AINT ATM MACHINES....... PLEASE!!.
Arrrrrgh!
 
yaani simpend hata kidogo....yaani akitamka I lov u kama anasema i hate u!!!!!Majanga
na ulivyo mnafki sasa.....!! mkono unaunyoosha tu kuchukua pesa zake!!!!!!

hivi hujaona mwenzio alietobolewa koromeo!!!!!!!!!????

jiandae na wewe sasa siku yakitibuka!!!

yani ahudumie weeeeee halafu waje wale wengine??????????

impossible under the sun!!
 
Huyu bidada aidha ni kilaza BIG TIME au anaangalia upepo wa jamvi unaendaje. Jumapili saa nyingine huwa zinakuwa pweke sana mjue.
 
Hela itawafanya watumwa, why?

Nikikumbuka na false alarm ulompa lekchara akataka kujilipa nadhani napata picha pana zaidi.

Unapenda kutumia watu kwa jinsi ya kike ila unakuwa hujajua where to stop.

Hebu nifanyie uchunguzi kwenye threads zote za miss strong afu uniambie ana wanaume wangapi kwa miaka mitatu iliyopita.

Kama kweli ndio bado yuko chuo, atakayekuja kuoa ana kazi sana.

Hawa mabinti wa siku hizi acha kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Huyu bidada aidha ni kilaza BIG TIME au anaangalia upepo wa jamvi unaendaje. Jumapili saa nyingine huwa zinakuwa pweke sana mjue.
Bora useme wewe mkuu. Hawa ndio wasomi wetum wa miaka hii. Ukifuatilia threads zake utakuta ana foleni za wanaume afu wote wana matatizo.

Hivi magunzi hayawezi kutiisha kiu??
 
Hilo ndilo tatzo ambalo wanawake wengi wasojitambua linawakuta
 
Hebu nifanyie uchunguzi kwenye threads zote za miss strong afu uniambie ana wanaume wangapi kwa miaka mitatu iliyopita.

Kama kweli ndio bado yuko chuo, atakayekuja kuoa ana kazi sana.

Hawa mabinti wa siku hizi acha kabisa.

Babu Asprin shikamoo .....yaani kiukwel huyu alikuwa ni wakawaida kwangu,na inapita miez hata 7 hata 8 sijamuona zaid ananitumia pesa nikajua msamalia mwema!!!!Heee eti sasa hiv ndo anajifanya anapanga mambo ya ndoa!!!!!Sasa sijui wengine hawatongoz bali wanatoa pesa hapo.........
 
Last edited by a moderator:
na ulivyo mnafki sasa.....!! mkono unaunyoosha tu kuchukua pesa zake!!!!!!

hivi hujaona mwenzio alietobolewa koromeo!!!!!!!!!????

jiandae na wewe sasa siku yakitibuka!!!

yani ahudumie weeeeee halafu waje wale wengine??????????

impossible under the sun!!

Mwache alitoe tu hilo koromeo.....sasa nifanyeje????
 
Last edited by a moderator:
oooh now I get u...umependa mpunga wake ila si mwenye mpunga..............saa fanya hivi kwa kuwa unampenda mipunga,tafuta unayempenda ila awe na mpunga...aah noo si tu awe na mpunga ila awe na uwezo wa kutoa mpunga pia
Ndo nataka kupiga chini alafu sasa hatuendani kabisaaaa ingawa anatoa mpunga kishenzi!!!!
 
simple rules zinazoongoza maisha..ushakula vya kutosha..mpe mchagga wa watu nae afaidi tunda....then you what..nipm mm 1701 in our relationship hatajua mtu kasoro mwili wangu..hata akili yangu haitajua..kuhusu hela nadhani umeshiba za mangi
 
Hela itawafanya watumwa, why?

Nikikumbuka na false alarm ulompa lekchara akataka kujilipa nadhani napata picha pana zaidi.

Unapenda kutumia watu kwa jinsi ya kike ila unakuwa hujajua where to stop.
usiniulize tena kwanini nakupenda !
 
simple rules zinazoongoza maisha..ushakula vya kutosha..mpe mchagga wa watu nae afaidi tunda....then you what..nipm mm 1701 in our relationship hatajua mtu kasoro mwili wangu..hata akili yangu haitajua..kuhusu hela nadhani umeshiba za mangi

Hakuna aliyewahi kutosheka na pesa.......
 
mnawapa shida sana wenzenu wanaotaka wanaume wa kuwapenda kweli!
shida sana!
yani mnawapa shida kuliko maelezo!
unnecessarily!
 
kwa filosofia hiyo utapata tabu sana kwenye mahusiano!
MNO!

Usini note vibaya dada snowhite...sio katika dhana ya mapenzi bali katika kuzitafuta kihalali,hakuna aliyewahi kutosheka.......!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hee!! kumbe ndio michezo yenu huko unyakilishini kuwekana kwenye vyupa? walahi mimi haniwezi hata siku moja kunitumbukiza kwenye kyupa aisee, labda niwe nimesahau kula kichuri siku hiyo.

Mama watoto wangu mwaJ na binti yangu mpenzi Zion Daughter wanafanya sana ibada kiasi ambacho hawawezi kutumbukizwa kwenye chupa.
Ameeeen.Ushindwe wewe pepo mbaya unayemsumbua Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom