miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
- Thread starter
- #281
Last edited by a moderator:
mabinti jamani kuweni makini huko vyuoni, tumechoka kuona visasi na mauaji ya kutisha kwa sababu kama hizo, ebu mgeukie Mungu mdogo wangu, utakulaje hela kwa mtu usiyempenda? kama humpendi na pesa zake usipokee yasije kukupata ya kukupata, dunia imeharibika, mgeukie Mungu atakuongoza katika kila jambo
snowhite:.....mnawapa shida sana wenzenu wanaotaka wanaume wa kuwapenda kweli!
shida sana!
yani mnawapa shida kuliko maelezo!
unnecessarily!
snowhite....kudos!kwa filosofia hiyo utapata tabu sana kwenye mahusiano!
MNO!
snowhite:busara umeitanguliza mbele kama farasi na mkokoteni!labeikh....
Siwezi toa hata dalla kwa binti asiye na mwelekeo kama huyu
Asante dada Aine.....nilijua kama kaka tu!!!!Baadae mambo ndo yananigeukia
...kwani wachaga hawatoagi vya bure,eti cc:Mentor
Wewe unakaa nchi gani, mchaga ukiona amehonga ujue hiyo hela kaiokota lakini ya kwake thubutu yako
Hivi magunzi hayawezi kutiisha kiu??
mi nahisi upuuzi wako na upeo wako mdogo ndo umekufikisha hapo....umelikoroga hlo
ha!ha!ha.
Hata kama magunzi yatatiisha kiu hayana wallet! Na ndio pointi ya msingi hapa!
Hivi ukimsaidia mtu ndo unataka kumuoa????ndoa na msaada vinaendana eeh???sikumuomba alinipa mwenyewe nkajua bro tu kaamua kumbe lol!!!!!