sunshine1
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 539
- 294
Hivi unaposema hamuendani unamaanisha nini vile! Je wakati unaanza kuintaract naye uliliona hilo au umeliona baada yakupata ulichotaka? Mada kama hizi ndizo zinasababisha utu wa mwanamke wakiafrica uzidi kudharaulika. Kama mtu humpendi na huna hisia naye kwanini usimwambie on the spot ili mwenyewe achague kusuka au kunyoa? Kweli bado hata elimu tunayopata haituletei ukmbozi wa fikra. Kuna umuhimu waku restructure mitaala yetu!
Sina hata mtu Munkari......ila jamaa kila siku zinavyokwenda nazidi kutompenda yani kwakweli hata mimi namuhurumia.
Ndo nitamwambia tu ila aujue ukweli hatuendani labda ataendana na mwingine!!!