Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

Hata kwetu wapo...!!Shemejii iiiii

Ha ha ha Eli79 bado una mimi tu jamani!!!!!

Unajua miss, japo umeleta mada ambayo sikuifurahia, nimefurahishwa na uwezo wako wa, kuwepo bila kukimbia, wengi huwa wanatoa, mada then wanasepa, nipo curious tu kujua..
Nijibu basi...
 
Last edited by a moderator:

Tatizo halikimbiwi.....mtu akitukana akifanya anachojickia nia uhuru wako zaid najiamini nakujijua jinsi nilivyo zaid!"!!
Back to topic......naomba nikuulize swali wewe kama mwanaume,hiv mwanamke hujawah kumtongoza ila pesa yako unampa....je ndan ya miaka 3 hufanyi huo mchezo o???
 
Nakujibu hivi, siwezi kuishi na mwanamke miaka mitatu bila kumtongoza afu ale pesa yangu, hata senti hatoiona...
Back to you; kwa hiyo ulikuwa unapasha sehemu, huku akikutimizia matumizi ya shule, bila dividends zozote?
Kweli nimekubali, wanaume twatofautiana.... ngoja niishie hapo😡
 
Ndo hapo sasa.....alikuwa anajaribu kucheza na akil yangu kupitia pesa ila siwez kukubali ndoa ya mtu yule!!!!!
Kama tongoza yake ndo dizain ile it doesnt work fo me!!!!
 
Tatizo halikimbiwi.....mtu akitukana akifanya anachojickia nia uhuru wako zaid najiamini nakujijua jinsi nilivyo zaid!"!!
Back to topic......naomba nikuulize swali wewe kama mwanaume,hiv mwanamke hujawah kumtongoza ila pesa yako unampa....je ndan ya miaka 3 hufanyi huo mchezo o???

Kiruuuu.......mwanaume wa wapi anafanya hayo makitu? Asprin hebu kuja usikie hii ina maana baa zote zitakuwa zimefungwa? watu8 miss strong anahitaji ushauri fasta...anza kuongea naye kinyumbani kwanza tehe tehe imbombo ngafu
 
Last edited by a moderator:
Dah! Labda mm ntakuwa mgeni juu ya hili ila navyojua mm kumpa pesa mwanamke haku maanshi kumtaka! Ila ya wezekana jamaa aliwah ku kutana na mapaka nyau yaka mtunza kw style hy!

Dubwasha!!
 
Eti yeye ndo anachukulia kigezo eti.......
 
Dah! Labda mm ntakuwa mgeni juu ya hili ila navyojua mm kumpa pesa mwanamke haku maanshi kumtaka! Ila ya wezekana jamaa aliwah ku kutana na mapaka nyau yaka mtunza kw style hy!

Dubwasha!!

Eti yeye ndo anachukulia kigezo .....!!!!!"Itakuwa hivyo hivyo kama ulivyosema
 
Kiruuuu.......mwanaume wa wapi anafanya hayo makitu? Asprin hebu kuja usikie hii ina maana baa zote zitakuwa zimefungwa? watu8 miss strong anahitaji ushauri fasta...anza kuongea naye kinyumbani kwanza tehe tehe imbombo ngafu

Hahaha mpwa mi nilishamalizana naye hapo mwanzoni kabisa wa thread hii...
 
Last edited by a moderator:
Nakujibu hivi, siwezi kuishi na mwanamke miaka mitatu bila kumtongoza afu ale pesa yangu, hata senti hatoiona...
Back to you; kwa hiyo ulikuwa unapasha sehemu, huku akikutimizia matumizi ya shule, bila dividends zozote?
Kweli nimekubali, wanaume twatofautiana.... ngoja niishie hapo😡
hivi inakuwaje mwanaume mzima mwanamke anakuona zoba? Miaka3 unatoa pesa kwa binti? Mbaya zaidi hata dushere lako halitaki for 3yrs? Kweli wanaume tunatofautiana!!!!!!
 
Ilikuwa yapita hata miezi 7 hatujaonana................mkandarasi huyo,anataka auhamishie katika mbunye yangu!!!!!!!
 
Back
Top Bottom