dushelelele teheteheteheteheeeee, mimi naona unampenda coz mtu usie mpendahata pesa yake huwezi kuitamani, sasa wewe pesa unapokea ila dushelele hulitamani duuuh. kwakweli kadri ninavyokuwa nayaona mengi sana humu duniani
Mwita Maranya, pole sana, huyu miss strong anasema kisha kuweka kwenye chupa, wewe, mkeo mwaJ, mwanao Zion Daughter na ndugu zako wote wa Musoma mnahema juu juu ndani ya chupa, sijui ni nani atakaye waokoeni.
Labda umuombe Mtambuzi awe Mesiya wako
Mwita Maranya, pole sana, huyu miss strong anasema kisha kuweka kwenye chupa, wewe, mkeo mwaJ, mwanao Zion Daughter na ndugu zako wote wa Musoma mnahema juu juu ndani ya chupa, sijui ni nani atakaye waokoeni.
Labda umuombe Mtambuzi awe Mesiya wako
Ndo nimeliona hilo mkuu wangu Kongosho yaani simpend hata kidogo....yaani akitamka I lov u kama anasema i hate u!!!!!Majanga
Mume wangu nakupenda Mwita Maranya ndio maana huyu mchaga simtaki na baadh ya vitu nilivyokuwa nakununulia ni pesa yake!!!!Naomba Bujibuji ulijue hilo!!!!
Gwee miss strong, sikwagile siliko, Mwita Maranya ngogi, abhagile kukughogha ugwee, ndeke, gwise kumyanguMume wangu nakupenda Mwita Maranya ndio maana huyu mchaga simtaki na baadh ya vitu nilivyokuwa nakununulia ni pesa yake!!!!Naomba Bujibuji ulijue hilo!!!!
Mwita Maranya, kwa taarifa yako miss strong sio Mnyaki ni Mnyasa. Hebu ona tukio lake current alilopiga kwao hivi karibuniMaweeeee miss strong kumbe ulikuwa unanilisha "najisi"? yani ulikuwa unaniongopea kwamba umecheza upatu kumbe zilikuwa zinatoka kwa mchaga zinapitiliza kwangu? Ntazitapika mimi ujue!?
Wao na ibada zao wote wamo ndani ya chupaHee!! kumbe ndio michezo yenu huko unyakilishini kuwekana kwenye vyupa? walahi mimi haniwezi hata siku moja kunitumbukiza kwenye kyupa aisee, labda niwe nimesahau kula kichuri siku hiyo.
Mama watoto wangu mwaJ na binti yangu mpenzi Zion Daughter wanafanya sana ibada kiasi ambacho hawawezi kutumbukizwa kwenye chupa.
Gwee miss strong, sikwagile siliko, Mwita Maranya ngogi, abhagile kukughogha ugwee, ndeke, gwise kumyangu
Baba watoto Mwita Maranya bora uwaambie. Sisi ni watu wa mwanga nguvu ya giza haitupati.Hee!! kumbe ndio michezo yenu huko unyakilishini kuwekana kwenye vyupa? walahi mimi haniwezi hata siku moja kunitumbukiza kwenye kyupa aisee, labda niwe nimesahau kula kichuri siku hiyo.
Mama watoto wangu mwaJ na binti yangu mpenzi Zion Daughter wanafanya sana ibada kiasi ambacho hawawezi kutumbukizwa kwenye chupa.
Mwita Maranya nakusoma ujue!Eti mpenzi wangu miss strong hapa kaka yako Bujibuji ndo kasemaje? hebu mwambie aachane na mambo ya upambe na atambue kuwa mwenye dada hakosi shemeji kwahiyo atulize mzuka.
Mwita Maranya, kwa taarifa yako miss strong sio Mnyaki ni Mnyasa. Hebu ona tukio lake current alilopiga kwao hivi karibuni
Malawian man gang raped by four women in Lilongwe | Malawi Nyasa Times - Malawi breaking news in Malawi
Mwita Maranya, kwa taarifa yako miss strong sio Mnyaki ni Mnyasa. Hebu ona tukio lake current alilopiga kwao hivi karibuni
Malawian man gang raped by four women in Lilongwe | Malawi Nyasa Times - Malawi breaking news in Malawi
Mwita Maranya nakusoma ujue!
miss strong naona dalili za wazi kabisa za kutaka kunigeuza mchaga aisee hebu tumia dikshenari ya kinyakilishi unapokuwa unaniteta na huyo kaka yako Bujibuji. Vinginevyo ngastuka fijo na lori!!Ngwisa ku myako jho ugwe nngukughanile fijo....!!!!ndo unamwambia hivyo ili uniharibie ndoa yangu????Mume wangu Mwita Maranya no one like you miaka 800 kama mapanga nipige,ndo ishara ya upendo..... Bujibuji ujhe ngenge(maso)
Mashemeji zangu GreenCity na bombom bila kumsahau mwenye kigoda Baba V na mpambe nuksi Bujibuji naombeni dikshenari ya kinyakikishi hapa fasta. Naona hii nyumba ndogo yangu miss strong inanipoteza kabisa frequency.