kwani umetongozwa na watu wangapi humu so far?
Leo nimegundua kuwa kumbe BABA yangu ni MWANA jamvi na huanzisha sana THREAD hapa JAMVINI.
NIKAJIULIZA MASWALI HIVI KUMBE KUNA WAKATI (KWA WALE WANAOTUKANA NA WENYE MAJIBU MAKALI) UNAWEZA MTUKANA AU MJIBU OVYO DINGI YAKO AU MKWEO HAPA JF EEH?
Nanika kundua kumbe kuna watu ni very influencial kwa jamii wapo jamvini! wazo likaja kumbe hata Mzee JK anaweza kuwa mwana Jamvi!
NA KAMA NI HIVYO BASI JE! CJAWAHI MJIBU FATHER KAVU HAPA JF? HII NI KWANGU
WEWE JE? KAA sawa MWANA JF! UNAPORUSHA MAWE YAKO HAPA!
Kuna watu wakitia mguu tu hapa jf, hata kabla ya kupost washapewa u premium member, tujuaje sasa? mmoja wapo labda atakuwa mkuu wa kaya....
Ndio maana panaitwa JAMII FORUMS.
Mie nshatongozwa kwa PM na vijukuu vyangu. LoL. Raha iliyoje.
Analysis yako ya umri imetumia vigezo gani?kuna watu najua kabisa umri wao umeenda kama FAIZA FOX,ASPRIN na Husninyo ni 37 yrs Tasker bariid 44, mwita25 yeye tulisherekea juzi 33 yrs mzee 26, mzee mwanakijiji 46 Ashadii 34, Rejao 29.lakini wengne pamoja na umri mkubwa walionao wanaongea pumba hadi wanashushuliwa...niwataje??
faizafoxy umri wake ni zaidi miaka 45
na wewe ulieanzisha mada uko chini ya 30
probably ana weza kukuza ,tena mtoto wa tatu labda....
sasa unaanzisha thread kuhusu nini na wewe unafanya nini???????
cha kushangaza ni huyohuyo mleta mada anapoanza kuteremsha matusi.
Leo nimegundua kuwa kumbe BABA yangu ni MWANA jamvi na huanzisha sana THREAD hapa JAMVINI.
NIKAJIULIZA MASWALI HIVI KUMBE KUNA WAKATI (KWA WALE WANAOTUKANA NA WENYE MAJIBU MAKALI) UNAWEZA MTUKANA AU MJIBU OVYO DINGI YAKO AU MKWEO HAPA JF EEH?
Nanika kundua kumbe kuna watu ni very influencial kwa jamii wapo jamvini! wazo likaja kumbe hata Mzee JK anaweza kuwa mwana Jamvi!
NA KAMA NI HIVYO BASI JE! CJAWAHI MJIBU FATHER KAVU HAPA JF? HII NI KWANGU
WEWE JE? KAA sawa MWANA JF! UNAPORUSHA MAWE YAKO HAPA!
huyu sofia simba!
ukiona dunia yote inakugeukia jua unatatizo, mimi lengo si kukutukana thou nimetumia lugha kali but ni kwasababu mara nyingi katika hoja zako unapenda kuonesha msimamo hasi unaokumbatia udini na dharau furani hivi (fuatilia mada unazo changia zinavyorudishwa na quotation za criticism) any way i'm sorry for that.
Boss! labda nimtake ladhi huyu dada FAIZAFOXY but the issue is "hata kama ni mtu mzima basi nina mashaka na Busara zake kwani kila mara" hujaribu kuingiza suala la udini katika michango yake" mimi simpendi mtu mdini, hebu fuatilia hoja zake
Kama kweli FF ni Sophia Simba naungana na hao wanaomtumia PM yule mama ananivutia sana huwa mchuruko fulani na nanaonekana kitandani si haba ila jamani punguzeni makali ya maneno kwa FF angekuwa na roho ya kijiko angeshajinyonga kwa jinsi mnavyomsakama hata akiongea cha maana mnamponda.
Una matatizo kweli.
Wewe kama unaweza jibu hoja zangu, hunijuwi sikujuwi, hijab yangu imekuhusu nini? Tena nnakuambia kama ni mwanamme kweli na sio khanithi niambie uko wapi nikufate kwa gharama zangu uje kunivuwa hii hijab na ukishindwa ujuwe ntakufanyizia wewe, kama humjui FF leo ndio utamjuwa na weka na mashahidi wako na useme kinaga ubaga uko wapi na mimi nakuja.
Wewe si pimbi tu nnaeweza kukutowa huku nakwenda mbio.
Eheee lete habari!!!!!!!!!!!!Hivi nyie vijana mnajina nyie ndio mnaoyajuwa saaana? Mnanchekesha!
Huyo Director ni mjanja anatupoteza kwa nini ajibu haraka eti ni rejao??????????? Toto cheja mamalala!!!!!!! Nina shaka tuthibitishie!!!!!!!Kwa nini mkuu'naongea nachokijua
kuna watu najua kabisa umri wao umeenda kama FAIZA FOX,ASPRIN na Husninyo ni 37 yrs Tasker bariid 44, mwita25 yeye tulisherekea juzi 33 yrs mzee 26, mzee mwanakijiji 46 Ashadii 34, Rejao 29.lakini wengne pamoja na umri mkubwa walionao wanaongea pumba hadi wanashushuliwa...niwataje??