Hata kama una haki....

Hata kama una haki....

Sasa tupo awamu ya tano.

Ni yupi Rais msema hovyo asiye na staha katika wote watano?

Nani anaongoza kuomba kuombewa?

Kwa sababu gani aombewe?
Tena aliomba aombewe ili kiburi kimuondoke.
Cha ajabu waumini wake badala ya kumwombea kwa hilo, wanamwombea kwa mambo mengine
 
Kama unamuhusu kwanini na yeye hujamjumuisha hapo? Au kuweka picha yake?
Mkapa alaita watu wapumbavu na malofa, mbona hukutema hilo povu lako?

We jamaa siku hizi umekuwa na akili kama jingalao.

I'm not psychic but, It could be ni ile narrative anayoongelea Lissu,

"Labda Nyani na Ngedere wanatoka shimo moja " a sense of insecurity by Nyani Ngabu!

Anaziba pua na kunusa pale anapotaka! Kwa maana nyengine his(Nyani Ngabu) conscious betrays his common sense! Kwa maneno yake Mijiafrika ndivyo tulivyo... by Nyani Ngabu

The issue is, Lissu is nobody, but the other is everybody, why feel a sense of insecure from Tundu words, he decided to resolve his insecurity by resorting in brutal force injustice, wasting of our resources and frankly speaking our tax money!

How many cases against Lissu by the state stuck up!, non of which result in conviction, does that make sense, he is on the right, and the other, well, you make your educated guess!

Stop wasting our resources, police time, court time and my time and my money!
 


Hata kama tuna haki ya kuwasema wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakosoa wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakemea wale wote tuliowapa mamlaka...

Wewe Tundu Lissu wewe...kuwa tu na haki ya kufanya jambo fulani haimaanishi ndo ujitoe kabisa fahamu na kuanza kuropoka ropoka kama mwendawazimu.

Kuwa tu na haki ya kusema, kukosoa, na kukemea haimaanishi ndiyo usitumie hekima na busara katika kufanya hivyo.

Ni lazima uwe mwangalifu. Ni muhimu kuchagua maneno yako vizuri hususan kama wewe ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi kwenye jamii.

Kusema rais Magufuli anaendesha nchi kwa upendeleo wa kikabila na kikanda ni uongo. Ni uzushi. Na ulikosea.

Hata kama una haki ya kusema hayo uliyoyasema, huna haki ya kuzusha mambo ili tu ujipatie pointi za kisiasa.

Leo hii likitokea sokomoko kati ya wananchi wa kanda ya ziwa na wa kwingine kisa hayo maneno yako, utalizuia? Si ajabu utajificha kama ulivyojificha mahakamani kule Dodoma ukiogopa kupandishwa kwenye Difenda😀.

Kuwa na haki si sababu ya kuacha kuwa makini. Jirekebishe.

Ukabila uliochanganyika na njaa utakumaliza , kinachotakiwa hapa ni kujitokeza mtu yeyote awe wewe , Dotto James ama Dr Magufuli mwenyewe kukanusha hoja ya Lissu , mkiendelea kupayuka TUTAFUKUA NA MENGINE MAKUBWA ZAIDI , mbona Kikwete alikuwa anajitokeza kukanusha magumu hata ya escrow , nyinyi mnashindwa nini ?
 
mleta maada mwenyewe ana upendeleo na ukabila. nakumbuka alivyokuwa anamnanga JK zama za utawala wake. lakini leo hii amegeuka kuwa mtetezi wa JPM simply kwa kuwa wote ni Ngoshaz....!
 
Ukabila uliochanganyika na njaa utakumaliza , kinachotakiwa hapa ni kujitokeza mtu yeyote awe wewe , Dotto James ama Dr Magufuli mwenyewe kukanusha hoja ya Lissu , mkiendelea kupayuka TUTAFUKUA NA MENGINE MAKUBWA ZAIDI , mbona Kikwete alikuwa anajitokeza kukanusha magumu hata ya escrow , nyinyi mnashindwa nini ?
Hakuna ukabila katika serikali ya Magufuli.

Chuki na husda zenu zitawamaliza.
 
mleta maada mwenyewe ana upendeleo na ukabila. nakumbuka alivyokuwa anamnanga JK zama za utawala wake. lakini leo hii amegeuka kuwa mtetezi wa JPM simply kwa kuwa wote ni Ngoshaz....!

Hata Magu nimeshamnanga sana humu.

Unabisha?
 
Hata Magu nimeshamnanga sana humu.

Unabisha?
Ila mkuu umebadirika sana mpaka inatia wasiwasi. Rais huyu ni dictator na ana roho mbaya, wivu na husda. sijui kwa nini unamtetea/munamtetea? Boss, jaribu kuwa neutral...na dunia hii/ i guess JF members watakukumbuka kwa hilo
 
Wewe jamaa una ugonjwa unaitwa Lisuphobia, dah nimeamini kweli haters are silent admirers, mkubali tu the dude is smart
 
Lissu ni msomi na mwanasheria makini sana lakini bahati mbaya siasa na majivuno vinaharibu weledi makini kwenye nyanja za kisheria.......

Mimi nadhani shujaa kwanza anatakiwa asafishe kwake ili apate nguvu na mfano wa kusafisha kwengine....sidhani kama Lissu haijui katiba ya chama anachokipigania.......

Mbowe yupo hapo kwenye nafasi yake kwa kuwa ameibaka katiba ya CHADEMA na kufuta kipengele cha ukomo wa uongozi ndani ya chama......kitendo kinachopingana moja kwa moja na jina la chama....na kinakwenda kinyume na harakati za chama.....sidhani kama Lissu halijui na sijui ni kwanini ameamua kulifumbia macho.......

Ikumbukwe kuwa CHADEMA ni chama cha siasa kinachopambana kikamate Dola.....sasa kama wao binafsi wameshindwa kuiheshimu katiba yao ndani ya chama je wanashindwaje kuibaka katiba ya jamhuri kusalia madarakani bila ukomo......

Au siku kuna tafsiri mbili za udiktetea.....nikiwa na maana kuwa pengine udikteta ukiwa CHADEMA unakuwa utukufu na ukiwa upande mwingine unakuwa ni ushetani.......!!?

Kwa maana hiyo haiwezi kuwa unafiki kwa CHADEMA kupigania demokrasia ambayo kwao wameizika.......!!!?
 
Huyu ni lipumba anayejificha nyuma ya keyboard kutoa mawazo ya kukandamiza demokrasia

Anayekandamiza Demokrasia ni yupi kati ya Magufuli ambaye ni mwenyekiti wa chama chenye ukomo wa uongozi mpaka hivi sasa au ni Mbowe ambaye amefuta ukomo wa uongozi kwenye chama......ni demokrasia gani isiyokuwa na ukomo wa uongozi...!!!!?
 
Hata Magu nimeshamnanga sana humu.

Unabisha?

Your tactics is called "whitewash", trying to pretend to criticise the other to be seen fair, your insecurity keep revealing itself! Yaani unaangalia upepo, you don't have any firm standing on anything!

Keep revolving! Tunakosoma!

Makosa ya Lissu ni nini hasa? Usitoke povu, trust me hakimu ataitupilia kesi kwenye bini, kama kesi nyengine kabla ya hii, au unasemaje?

And that will prove my point, i.e. Your insecurity, aka stupidity!
 
Back
Top Bottom