Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,092
- 136,657
- Thread starter
- #221
Not to that extent, watch it.
I wish I kud be IGP-Wewe si mtaalam wa kiingereza si ungemsaidia basi!
Ushamaliza kutoa povu?
Not to that extent, watch it.
I wish I kud be IGP-Wewe si mtaalam wa kiingereza si ungemsaidia basi!
Basi sawa.Hapana, wewe ndiye ulikuwa mlengwa. Huyo jamaa nilimnukuu kimakosa.
Basi sawa.
Hata kama tuna haki ya kuwasema wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakosoa wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakemea wale wote tuliowapa mamlaka...
Wewe Tundu Lissu wewe...kuwa tu na haki ya kufanya jambo fulani haimaanishi ndo ujitoe kabisa fahamu na kuanza kuropoka ropoka kama mwendawazimu.
Kuwa tu na haki ya kusema, kukosoa, na kukemea haimaanishi ndiyo usitumie hekima na busara katika kufanya hivyo.
Ni lazima uwe mwangalifu. Ni muhimu kuchagua maneno yako vizuri hususan kama wewe ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi kwenye jamii.
Kusema rais Magufuli anaendesha nchi kwa upendeleo wa kikabila na kikanda ni uongo. Ni uzushi. Na ulikosea.
Hata kama una haki ya kusema hayo uliyoyasema, huna haki ya kuzusha mambo ili tu ujipatie pointi za kisiasa.
Leo hii likitokea sokomoko kati ya wananchi wa kanda ya ziwa na wa kwingine kisa hayo maneno yako, utalizuia? Si ajabu utajificha kama ulivyojificha mahakamani kule Dodoma ukiogopa kupandishwa kwenye Difenda😀.
Kuwa na haki si sababu ya kuacha kuwa makini. Jirekebishe.

We are signatory of United Nations and The Universal Declaration of Human Rights Article 19 state and I hereunder quote: Everyone has the right to freedom of opinion and expression; this right includes freedom to hold opinions without interference and to seek, receive and impart information and ideas through any media and regardless of frontiers.Anasahau hii Ibara ya 29 (5) ya katiba ya JMT ya 1977 ;
29.-(1) Every person in the United Republic has the right to enjoy fundamental human rights and to enjoy the benefits accruing from the fulfillment by every person of this duty to society, as stipulated under Article 12 to 28 of this Part of this Chapter of the Constitution. Art.6
(2) Every person in the United Republic has the right to equal protection under the laws of the United Republic.
(3) A citizen of the United Republic shall not have a right, status or special position on the basis of his lineage, tradition or descent.
(4) It is hereby prohibited for any law to confer any right, status, or special position upon any citizen of the United Republic on the basis of lineage, tradition or descent.
(5) In order that all persons may benefit from the rights and freedoms guaranteed by this Constitution, every person has the duty to so conduct himself and his affairs in the manner that does not infringe upon the rights and freedoms of others or the public interest.
Sawa, anaendesha nchi Kisukuma! Akifika Mwanza anatoa hotuba zake kwa Kisukuma. Watetezi wake kwa asilimia 99% ni Wasukuma. Haombi hela kupeleka maendeleo Usukumani, anachota tu utadhani walipa kodi ni Wasukuma peke yao. Paymaster General, mtoto wa dada, anapigiwa tu simu bila kujali tunalo Bunge.Rais Magufuli haendeshi nchi kikabila.
bro, sizani kama umeshinda battle. niki-respond word to word watanifungia humu and i don't want that to happen. however, i do reserve my comment coz hata kesho ni siku. cheersUmeumbuka.
Na ndo maana hata huja address hiyo hoja yako niliyoijibu kwa ithibati.
Safari ijayo jipange vizuri kabla hujaninyooshea kidole na kutoa tuhuma za kitoto.
Umeweweseka hadi umeshindwa kuandika 'makosa'.
Hujui hata maana ya neno snitch. Unachekesha.
😀
Mwanzishie mada basi. Miafrika kama nyie hovyo kabisa. Kwa kuwa lissu unammudu ndio umuanzishie uzi?Naam, hata yeye huu ujumbe unamhusu.
Tundu lisu kwa wenye Akili tushaona ana matatizo ya Akili
Na kuthibitisha hilo wakemia walitaka kumpima mkojo.
Pia naona mvurugano ndani ya chadema maana leo mwanasheriA kibatala kaandika article mwisho anasema anatamani agombee urais 2020 kwa hiyo faham nini kitatokea
bro, sizani kama umeshinda battle. niki-respond word to word watanifungia humu and i don't want that to happen. however, i do reserve my comment coz hata kesho ni siku. cheers
Mwanzishie wewe...Mwanzishie mada basi. Miafrika kama nyie hovyo kabisa. Kwa kuwa lissu unammudu ndio umuanzishie uzi?
Kinachotangulia ni haki...bila haki hakuna usawa, bila haki hakuna amani, bila haki hakuna heshima, bila haki hakuna umoja, bila haki hakuna uhuru, bila haki hakuna ustaarabu na bila haki hakuna wajibu. Kinachotutofautisha binadamu na wanyama wa porini ni haki na bila haki ni jungle law mtindo moja na kama wananchi hatukushtuka mapema huko ndiko Magufuli anakotupeleka.Wakuu, hivi kuna haki bila wajib???!!!!! Napita tu
Kupinga uonevu si kuzusha mambo.
Of course ni maoni tu.Hayo ni maoni yako.
Ngosha anaonyesha zairi na ubaguzi wa ki chama na yy anaropoka tyu kwny ziara yake katiba kai kalia anaendesha gari hili kwa kutumia akili yake siyo sheria za barabarani tulijua tupo ndan ya basi kumbe tupo kweny lori
Sent using Jamii Forums mobile app