Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,100
- 136,732
- Thread starter
- #181
Ni wazi hujanisoma. Na kama umenisoma basi hukuelewa ulichokisoma.Makosa ya Lissu ni nini hasa? Usitoke povu, trust me hakimu ataitupilia kesi kwenye bini, kama kesi nyengine kabla ya hii, au unasemaje?
And that will prove my point, i.e. Your insecurity, aka stupidity!
Matokeo yake unaishia kuropoka tu.
Mara ngapi humu nimeshasema kuwa Lissu hana kesi ya kujibu mahakamani kwa mintarafu ya yeye kukamatwa safari hii?
Nimeshasema humu kwamba hapo hakuna kesi. Kwamba kilichopo ni kumsumbua na kumnyanyasa nyanyasa tu.
Hilo nishalisema wazi. Nishasema kuwa mashitaka dhidi yake ni frivolous.
So what the hell are you talking about?
Unadandia tu karandinga kwa mbele hujui limetoka wapi.
Good grief.