Unaulizwa swali badala ya kujibu nawe unauliza tena swali? Hovyo kabisa. Hii ndio dalili inyoonyesha wewe ni mjinga na haufai hata kujadili mambo ya watu wenye akili kama Tundu Lissu, uliona wapi akili ndogo ikijadili akili kubwa?Wewe utaishi mpaka lini?
Uenyekiti huo unakuhusu nini na unakukera nini kama wenye chama wenyewe hawaoni tatizo katika hilo?Unapata wapi uhalali wa kumkosoa JPM kuwa ni dikteta na hujamkosoa mwenyekiti wako wa kudumu Mbowe?
...nani ataishi milele?Na ndiko anakoelekea huyo Lissu wenu....kuwa mfu.
Wewe utapaa mbiguni ??? Mijitu mingine bwana .Kama mlivyompoteza Ben Saanane
Posti yako inanuka ukabila mno. Kwanza kabisa Magufuli sio msukuma. Na hata kama hayo yote aliyoyafanya ni kweli je kwani serikali imeacha kushughulikia miradi iliyopo sehemu nyingine nchini? Mbona uwanja wa ndege Dodoma unakarabatiwa hamsemi? Vipi na reli ya kati ya kiwango cha kimataifa? Yaani unataka kutuaminisha kuwa sasa hivi kila kitu kinafanyika kwa wasukuma tu?Pangua hoja kwa hoja,
Ni sababu ipi inayomsababisha Naibu waziri wa nishati na madini kuendelea kuwepo kwenye ofisi husika ili hali amekuwa ktk ofisi hiyo kwa miaka zaidi ya 20 akihudumu kama mwanasheria wa wizara na report ya Osoro imesema wazi watendaji wote waliokuwepo kipindi mikataba inapitishwa wanapaswa kuchukuliwa hatua ikiwemo kuwaondosha ktk wizara husika?
Mradi ya Chato Internatinational Aiport bajeti yake imepitishwa na bunge lipi zaidi za mpwa Dotto kusaini mapesa yaelekee huko tena bila kuzingatia mfumo wa kutangaza tenda??
Gorofa la TRA huko chato tender yake ilitangazwa lini na wapi zaidi ya kampuni ya binamu kupewa deal kinyemela??
Watanzania wangapi wamefukuzwa kazi na kunyimwa stahiki zao kwa tuhuma za vyeti feki wakati huo-huo Bashite mtuhumiwa wa cheti feki anabebwa mgongoni na Magufuli?
Ni mtanzania gani mwenye jeuri zaidi ya Bashite anayeweza kuvamia media house akiwa na mitutu ya bunduki pamoja na walinzi wa rais alafu rais husika anasimama mbele ya watanzania na kumpongeza muhusika kwa uvamizi huo??
USUKUMA pekee ndiyo sababu ya vituko hivi vinavyofungiwa macho na mpendwa wenu Pombe.
Kwasababu Chato International Airport ni white elephant project.Posti yako inanuka ukabila mno. Kwanza kabisa Magufuli sio msukuma. Na hata kama hayo yote aliyoyafanya ni kweli je kwani serikali imeacha kushughulikia miradi iliyopo sehemu nyingine nchini? Mbona uwanja wa ndege Dodoma unakarabatiwa hamsemi? Vipi na reli ya kati ya kiwango cha kimataifa? Yaani unataka kutuaminisha kuwa sasa hivi kila kitu kinafanyika kwa wasukuma tu?
Atakuwa wa kwanza kufungwa? Au wa mwisho?Uzuri "malaika' hawafungwi.Sanasana wanatupwa motoni.Hovyo kabisa,mnameteta sio kwa lingine bali "homeboy",zamu yetu!Akifungwa mtasema kaonewa.
Hahahahahahhahahah pambafuuuu...mnajitekenya then mnacheka wenyewe.....hahabahahaah DISCO TOTO
Hata kama tuna haki ya kuwasema wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakosoa wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakemea wale wote tuliowapa mamlaka...
Wewe Tundu Lissu wewe...kuwa tu na haki ya kufanya jambo fulani haimaanishi ndo ujitoe kabisa fahamu na kuanza kuropoka ropoka kama mwendawazimu.
Kuwa tu na haki ya kusema, kukosoa, na kukemea haimaanishi ndiyo usitumie hekima na busara katika kufanya hivyo.
Ni lazima uwe mwangalifu. Ni muhimu kuchagua maneno yako vizuri hususan kama wewe ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi kwenye jamii.
Kusema rais Magufuli anaendesha nchi kwa upendeleo wa kikabila na kikanda ni uongo. Ni uzushi. Na ulikosea.
Hata kama una haki ya kusema hayo uliyoyasema, huna haki ya kuzusha mambo ili tu ujipatie pointi za kisiasa.
Leo hii likitokea sokomoko kati ya wananchi wa kanda ya ziwa na wa kwingine kisa hayo maneno yako, utalizuia? Si ajabu utajificha kama ulivyojificha mahakamani kule Dodoma ukiogopa kupandishwa kwenye Difenda😀.
Kuwa na haki si sababu ya kuacha kuwa makini. Jirekebishe.
Na yule mwingine hana haki ya kuita watu vilaza.
Pia hana haki ya kutoa kauli za udhalilishaji wa wananchi na zinazodhalilisha Taasisi nzima anayoitumikia.
Charity begins at home.
Daa hata weweBen si ajabu kapotezwa na Mbowe na CHADEMA yake....
Hata kuanzisha harambee kwenye GoFundMe mchangishe pesa za kutumika kumtafuta hamjafanya.
Aibu.
Kisa ni International airport ndio imekua ishu ya ukabila na ukanda? Mbona sijawahi kusikia kuwa Kilimanjaro International airport nayo pia ilijengwa kwa sababu ya ukabila? Raisi wetu ana mapungufu makubwa sana lakini hili la ukabila halina ukweli wowote kabisa.Kwasababu Chato International Airport ni white elephant.
Kwasababu anaogopaSasa tupo awamu ya tano.
Ni yupi Rais msema hovyo asiye na staha katika wote watano?
Nani anaongoza kuomba kuombewa?
Kwa sababu gani aombewe?
Havana haha hashish nacheeekaHuyu Tundu Lissu anawadanganya wajinga wajinga kuwa uhuru wa kujieleza hauna mipaka.
Kati ya mtu ambaye mimi humheshimu sana kwa kubalance mambo ni Nyani Ngabu but awamu hii nafikiri kuna mtu anatumia id yakeNaam, hata yeye huu ujumbe unamhusu.