Hata kama umevunga imekuuma

Hata kama umevunga imekuuma

Mwenzenu mchepuko kaninunia! Hakupokea simu jana asubuhi na mchana! Kanipigia jana usiku eti kunipasha na kunisalimu! Eti hataki ugomvi nami! Leo tena kanipigia kunijulia hali!
Nili admit I was sorry though.
Basi mahaba yetu yako kwenye hati hati!
Kazi kweli kweli!
🤔😔
 
Tusemeni ukweli eti una mpenzi halafu jana hajakutext wala hajakukumbuka kwa lolote .
ILIKUUMA pasuka tu pah na useme kwenye huu uzi uliumiaje?? Ili hata uishi kwa amani.

Yaani kila mtu alikumbukwa kasoro wewe utakuwa wewe ni wakupita hata haupo kwenye steji ya mchepuko.

Jana ilikuwaje hebu tujuze .
Bado una safari katika swala zima la mahusiano. Wewe ni miongoni mwa wale usipopigiwa simu wala kutumiwa sms na boyfriend wako unanuna, ni miongoni mwa wale "Mbona mwenzangu amefanyiwa hivi wewe hunifanyii"
Udhihirisho wa upendo sio siku ya VALENTINE DAY bali kilasiku iishayo, kilasiku ianzayo ni Valentine 💝
 
Tusemeni ukweli eti una mpenzi halafu jana hajakutext wala hajakukumbuka kwa lolote .
ILIKUUMA pasuka tu pah na useme kwenye huu uzi uliumiaje?? Ili hata uishi kwa amani.

Yaani kila mtu alikumbukwa kasoro wewe utakuwa wewe ni wakupita hata haupo kwenye steji ya mchepuko.

Jana ilikuwaje hebu tujuze .
Mwanaume ukiwa na hela ata usipopostiwa haiumiii, ila mwanamke tegemezi aliye na bwana mwenye hela asipopostiwa roho inamuuma hatare anajua tuu bwana angu Kwa hela alizonazo lazma ana wanawake wengine ndo maana hajanipost

Wanawake acheni utegemezi tafteni za kwenu wenyewe ili msiumizwe
 
Back
Top Bottom