Hata kama umevunga imekuuma

Hata kama umevunga imekuuma

1. Hyo tarehe 14 feb, ni imani ya watu fulani hv, jana wengne walikuwa kanisani
-hz imani hazifanani
-hii imani asili yake ni RC, hvo siyo kila mtu ni muumumini wa mt. valentine

2. upendo upo siku zote bila hata tarehe 14 feb ya wakatoliki

3. kuna wengne hakuna upendo hata valentine day

4. jitahidini sana kuwajali wake zenu na wachumba wenu kila iitwapo leo ili kuepuka kusubiri kalenda ya kuwapenda.

5. usipotafutwa jitafakari ili kalenda yenu ya kupendwa ikifika mtafutwe

KUPENDWA, KUJALIWA, KUSAMEHEWA, KUPEWA SHUKRANI HUWA HAMNA KALENDA, BALI ANAYEKUPENDA ATAKUFANYIA HVO KILA IITWAPO LEO HATA KAMA KUNA CHANGAMOTO.
 
Unaandikaga marefu ila madini tupu!🙌🏾
 
Hakuna usijitete hata sisi tunapendwagwa tu ila jana ilikuwa ndio uthibitisho ukiona haujadhibitiwa ogopa unaishi kwa mawazo sio kwa kujiamini yaani hata dada ako hawezi kusema bro happy valentine njoo untwe kabia unagundu
Una low self esteem binti.

Kuna watu hayo mambo sijui ya birthdate, valentine, xmass, eid nk ni just normal days.

As long as natimiza wajibu wangu sioni haja ya kuanza kuhangaika na hayo ma sikukuu ya kizungu yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Heka heka za valentine day ni za kuwaachia nyie wanawake. Kwa mwanaume tena wa kiafrika kuwa na mzuka wa valentine haipendezi.

Mimi jana siku nzima hata nyumbani sijatoka. Nilijifungia kwenye chumba cha ofisi ya nyumbani kufanya kazi ya mteja wangu. Alinipa financial report ya kampuni yake kwa mwaka mzima nimfanyie kazi ya kuchunguza mianya pesa inapotelea wapi.

Na wife nikamwambia kabisa sitaki usumbufu akiingia ofisini iwe ni kuniita chakula au kunipa taarifa ya muhimu sana
 
Unajielezea ila ukweli umebaki pale umeumia tu wenzako.wanaifurahia
 
Una low self esteem binti.

Kuna watu hayo mambo sijui ya birthdate, valentine, xmass, eid nk ni just normal days.

As long as natimiza wajibu wangu sioni haja ya kuanza kuhangaika na hayo ma sikukuu ya kizungu yasiyo na kichwa wala miguu.
HUna partner
 
Back
Top Bottom