Hata kama umevunga imekuuma

Hata kama umevunga imekuuma

9C1AA074-30BC-46B4-8128-B7D74ED7CC42.jpeg

🥲
 
Tusemeni ukweli eti una mpenzi halafu jana hajakutext wala hajakukumbuka kwa lolote .
ILIKUUMA pasuka tu pah na useme kwenye huu uzi uliumiaje?? Ili hata uishi kwa amani.

Yaani kila mtu alikumbukwa kasoro wewe utakuwa wewe ni wakupita hata haupo kwenye steji ya mchepuko.

Jana ilikuwaje hebu tujuze .

Ujawajua wanawake na Uharamia wao, Hakuna kitendo cha Mwanamke kitakachonisumbua Kwa mara ya 2
 
Back
Top Bottom