Hata kama umevunga imekuuma

Hata kama umevunga imekuuma

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
4,800
Reaction score
8,986
Tusemeni ukweli eti una mpenzi halafu jana hajakutext wala hajakukumbuka kwa lolote .
ILIKUUMA pasuka tu pah na useme kwenye huu uzi uliumiaje?? Ili hata uishi kwa amani.

Yaani kila mtu alikumbukwa kasoro wewe utakuwa wewe ni wakupita hata haupo kwenye steji ya mchepuko.

Jana ilikuwaje hebu tujuze .
 
Kwa wengine EVERYDAY IS A VALENTINE.

Sasa kazi kwenu nyie mnaosubiri tarehe 14.
Hakuna usijitete hata sisi tunapendwagwa tu ila jana ilikuwa ndio uthibitisho ukiona haujadhibitiwa ogopa unaishi kwa mawazo sio kwa kujiamini yaani hata dada ako hawezi kusema bro happy valentine njoo untwe kabia unagundu
 
Mimi huku Africa espeshel Tanzania watu wanaoichukulia serious hiyo siku nawaona ni kama wanakuwa hawana kazi ya kufanya.

Hivyo vitu wanaviweza wazungu sisi ngozi ya t∆ko weusi kama mkaa tunadandia tu train kwa mbele hatujui hata vinakoelekea zaidi ya kuishia kufanya ngono zembe kuzoa mimba zisizotarajiwa na maradhi yasiyotibika.
 
Mimi watu wanaoichukulia serious hiyo siku nawaona ni kama wanakuwa hawana kazi ya kufanya.

Hivyo vitu wanaviweza wazungu sisi ngozi ya t∆ko tunadandia tu train kwa mbele hatujui hata vinakoelekea zaidi ya kuishia kufanya ngono zembe kuzoa mimba zisizotarajiwa na maradhi yasiyotibika.
Huna hela broo hela ingekufanya ushereke tajiri anasherekea kila sherehe
 
Bahati nzuri demu wangu ni geti kali, anatumia shmu weekend to weekend, jana kanitafuta, tumeongea kwa zaidi ya 2hrs na mwisho akaniambia atanitafuta next weekend ila hakusita kuniambia, valentine day njema,na kwarezima njema tarehe 18, huku akisindikiza kwa ujumbe maridhawa ambao kwa hakika sitaufuta mpaka anitafute tena "nakupenda sana,nakutakia jioni njema my bye!!"
 
Wewe sema hunaebda popote wla hakuna aliyekutafuta
 
Huna hela broo hela ingekufanya ushereke tajiri anasherekea kila sherehe
Hela kwani hiyo sherehe budget yake ni trillion ngapi hata wengine tushindwe kuisherehekea?

Ni vile tu ninajitambua mimi Mwafrika huwezi ukanielekeza eti niwe na siku moja tu maalumu ya kumuonyesha mapenzi mke wangu ninayeishi nae mwaka wa 14 huu wakati mapenzi tunaonyeshana kila siku siku tukipishana kauli ndiyo hivyo tunawekana sawa maisha yanaenda.
 
Unajitetea
 
Back
Top Bottom