Basi basi mama. Hawa nawadai hela ya mchezo tuu.
Wala usiwe na shaka. Hakuna anayenyosha mkono. Njoo nikuambie kitu kiiizuuri.
Jahazi wamesema *kuchezewa mume wangu nasema sitaki*Mbona hujaja sasa..mi naondoka zangu. Halafu wewe umezidi ubabe bana..mi sipendi.
Kufanya utundu nakatazwaa...haha
Nichumuu...
Ndio ubabe wenyewe huu ss.
Ndio nini tena jamani mpenzi? Umenishtuaa.
Eeh hizi furaha sasa zinanipa BP.
Majukumu tu yalizidi. Hapa nina usingizi wa miezi 3
Je huo usingizi ukiubadili kwenye viwango vya pesa itakuwa kiasi gani?????