...jaribu
Basi chomeka
Halafu nilitegemea ewe ladyfurahia ndio ungekuwa wa kwanza. Ila najua ulitingwa pande zileee
Afu nimekumiss wewe sana ladyfurahia
Kwa hiyo ladystito mpo wangapi?
jamani shem nashukuru kwa kunimiss hivyo utakuja lini kwetu?
umekwenda mwanza kwenye arushawing?
ukiuchukua ukoo wa mume wangu wako lukuki yaani kuna wajomba 40, mashangazi 60, mabinamu10, mamamkubwa 10, mamamdogo 20, wajukuu, 71, sasa funga kazi kwa mawifi ndo usiseme ni utitiri mtupu ikanibidi niombe nauli kesho yake nirudi home yaani nimechokaje na ukoo ule wewe acha tu
Kumekucha tayari..muda wa kuchomoa..
net saizi?
Umejuaje kuwa n net? kwan n net ndo inayochomekwa tu?
nimefuatilia post zenu na M.E.M.A ila kama net inatumika kama tafsida siwezi jua