Ladymasa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 877
- 335
Akuu we unanitoroka..
Jamani =M.E.M.A; nakutoroka naenda wapi tena? wakati nimekuja kwako?
Akuu we unanitoroka..
Si unapotea tu kwenye mazingira ya kutatanisha..
Haya nakusubiria kule kule kwa juzi...
Mi nishafika hapa kwenye duka la mangi..nimekunywa soda kwa pozi hadi imeisha. Sasa nimeagiza maji makubwa. Nayo yakiiisha si watanitimua..!!
Hiyo mi sinywagi bana. Labda nikuchukulie. Hebu sema ya baridi au ya moto?
Nletee kwanza ya barid yamoto iendelee kupata barid ww endelea kunywa maj sawa halahala kukojoa kitandan lakin jitahid kustahimili maj kidogo naongopa utakojoa kwa kitanda twafwazali
Nipe kazi kaka nikimaliza ndio nitalog offHapo nadhani nahitaji mwangalizi wa kimataifa. Unaweza ukalala usingizi wako wewe. Ngoja nimtafute detective Washawasha. Japo hakawii kulog off...hahhaa
Mi sikojoagi kitandani bana. Nakojoaga kule kule unaponihimazaga..
Nipe kazi kaka nikimaliza ndio nitalog off
Nalog off
Hebu mfwatilie huyu Ladymasa huwa sielewi anatorokea wapi. Na pia Heaven on Earth nataka kufaham kama analala usingizi wake au wangu. Haya kazi kwako.