hata Dr Kadeghe wa UDSM jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hata Dr Kadeghe wa UDSM jamani?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Vakwavwe, Feb 10, 2012.

 1. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  [h=3]
  S1475 PERFECT VISION SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 2 DIV-IV = 39 FLD = 97 [/h]
  imenisikitisha sana kuona hata wasomi tunaowategemea nao wanaanzisha shule na kutoza miada mikubwa mikubwa halafu hawalipi walimu vizuri na au wanatafuta walimu wasio na sifa na matokeo ndo haya...!!!!! hebu imagine watoto 97 wamekuwa wakilipiwa ada za zaidi ya millioni halafu wanapata zero. Na Kadeghe anahusika moja kwa moja kwa kuwa anakuwepo muda mwingi hapo shuleni na bado matokeo ndo haya. ...na alichoniboa zaidi ni kwamba alipozikusanya za kutosha mwaka jana akaenda kwao SAME kugombea ubunge kupitia magamba,wakachakachuana huko na akaukosa akarudi kukamua wanafunzi kama kawa na matokeo ndo haya.
  ni afadhali za kata watu wanalipa 20,000 lakini hizi IMPERFECT na ST Mariaz miyeyusho kweli..taifa limekabidhiwa kwa ngedere tuombe Mungu tufike salama.
   
 2. hollo

  hollo JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 781
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Kazi ipo
   
 3. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  jamaaa kume profesaaaa
   
 4. Z

  Zoooom New Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  **valid code**
  wizi mtupu. Yani ye anajali anaingiza nini na sio anatoa nini?

  Ni msom huyo.
   
 5. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wameweka maslahi mbele na hawana mpango mkakati
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mdogo wangu alikamua pale yaani basi tuu kwa kuwa nilikuwa nje kikazi ila sio shule ile ni ubrothermen na usistado.
  Naona kuna haja ya wizara kuweka standards za ufaulu kwa shule.
  As the way I see kuna shule zastaili kufutwa tuu!Huwezi kuwa na nusu ya shule wamefeli kama uu mstaarabu rudisha ata nusu ya ada ule mtaji wa kuanzia maisha wale walioferi
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  wapenda pesa hawa na wala hayupo katika kusaidia wananchi..si unaona anavyoutolea denda ubunge
   
 8. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Serikali inatakiwa kusimamia hizi private school otherwise watanzania wataendelea kutapeliwa na haya majizi,wanapandisha ADA kila mwaka wakati performances zao zinashuka mwaka hadi mwaka,is high time now upelekwe muswaada kama ule wa January Makamba(makazi na upangaji) ili kudhibiti huu wizi na utapeli wa private schools.
   
 9. King2

  King2 JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Elimu ni mradi.
   
 10. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Tatizo kubwa ni wizara. wanabadilisha mitaala kila kukicha. Na baraza la mitihani nalo siku hizi wanatunga mitihani utafikiri wanakomoa. Hakuna ubishi kwamba mitihani ya miaka ya 80 & 90 ilikuwa mirahisi ukilinganisha na hii ya sasa.
   
Loading...