Hata binadamu wa sasa ipo siku atatoweka kabisa (extinct)

Hata binadamu wa sasa ipo siku atatoweka kabisa (extinct)

Jeremiah Stephin

Senior Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
129
Reaction score
166
HATA BINADAMU WA SASA IPO SIKU ATOWEKA (EXTINCT)

[emoji117]Iko hivi, hakuna species yoyote ambayo itaishi milele(hakuna immortal species),Kila kundi la viumbe wa jamii moja(species) ipo siku litatoweka (extinct) na kubaki historia tu kuwa lilikuwepo juu ya uso huu wa dunia..
[emoji117]Miaka zaidi ya million 230 iliyopita kabla hata mwanadamu hajatokea duniani kulikuwa na viumbe wanaitwa dinosaurs ambao ndio walikuwa dorminant kwenye ardhi yote ya dunia (terrestrial)lakini hadi leo imebaki historia tu hawapo wametoweka (they extinct)..
[emoji117]Hadi sasa kuna mabilioni ya species ambazo tayari zimetoweka(they became extinct) kwa sababu mbali mbali ikiwemo organic evolution na kushindwa kuyakabili mazingira hasa kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi..
[emoji117]Asili ya mwanadamu imetokea mbali zaidi ya miaka milion 5 hadi 7 iliyopita wakati dunia ipo tangu miaka zaidi ya bilion 4 iliyopita umesha jiuliza kwanini binadamu
Kachelewa mno kuwepo duniani?
[emoji117]Kabla ya kuwepo sisi binadamu wa kisasa kuna species nyingi tu za binadamu wa kizamani ambazo zimeshatoweka na hazipo tena ikiwemo ndugu zetu kina homo habilis, homo erectus n.k na sasa tupo sisi tolea jipya la wanadamu tunajiita homo sapiens umesha jiuliza hata sisi ipo siku tutatoweka? Jibu ni ndio
[emoji117]Species yetu(Homo sapiens) pia miaka mingi ijayo itatoweka na haita kuwepo kabisa kwanini dalili zimeanza kuonekana mapema mno..
[emoji117]Binadamu wa sasa ameanza kuwa dhaifu kuhimili magonjwa mfano hai ni COVID 19 n.k,life style ya binadamu wa sasa imeongeza hatari ya kutoweka mapema mno ikichagizwa na maendeleo ya science na teknologia,Binadamu sasa anazidiwa na mabadiliko ya tabia ya nchi ndio maana visa vya watu wengi kufa kwa joto siku hizi imekuwa kawaida tu..Kuna mtalaam mmoja aliwahi kunambia binadamu waliokufa zamani mifupa yao ilichukua muda mrefu sana kuoza(decomposition) ila binadamu anakufa leo ni miaka michache tu unaweza kuta kabuli lake halina mabaki yoyote..mifupa inaoza ki rahisi tu
[emoji117] Kiufupi ni kwamba hakuna species yoyote ile inayo pendelewa kwamba iishi vizuri kuliko nyingine na hii ndio maana halisi ya nature,Maneno ya kwenye dini kuwa binadamu ana akili kuliko kiumbe yoyote huwa nayo yana ukakasi kwa maana kila kiumbe kila akili kwenye mazingira yake..
#itaendelea
[emoji3578]Jeremiah Kipoya
 
Evolution ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.....

Inshu inakuja, evolution iliyopita ilikua inaangalia strong specie ndio ina survive, halafu inaendelea, then weak inatoweka.

Kwa sasa tumefikia mwisho kabisaa, Sioni tofauti kati ya strong na weak specie, unless New specie yenye sifa tofauti kabisa itokee, kitu ambacho Ki Sayansi Ni ngumu...

Kwa hio hasa hasa naona umri wa kuishi ukipungua kadiri miaka inavyozidi kwenda.
 
Nita elimika zaida iwapo utatoa na chanzo/asili yakutokea viumbe vipya maana umejikita kuelezea namna vinavyotoweka bila kueleza na chimbuko la kila viumbe.
Hicho chanzo ni wewe mwenyewe tuu kua na amani/kuchagua uamini ipi

Either uamini Chanzo cha maisha Ni Mungu..
Kuna wanaosema maisha yametokana na vitu visivyo hai na vilivyooza,
Kuna wanaodai maisha yametoka kutoka sayari nyingine kama mbegu yakaja sayari hii.
Kuna wanaodai Maisha yametokana na Muunganiko wa Elements kama Hydrogen zikaleta Compound na Compound zikaleta simple Organism baadae Complex organisms..

Kuna wanaodai Maisha yametokana na Kubadilika kwa hali ya hewa duniani Hasa Joto.

Hakuna mtu atakupa jibu la moja kwa moja la asili ya uhai, ni imani yako ichague.
 
Hili nimewahi kulifikiria pia.

Historia na Biblia vyote vinaeleźea kuwa watu wa kale waliishi miaka mingi sana. Historia ikisema zaidi ya miaka elfu moja (1,000) huku Biblia ikisema binadamu aliyeishi miaka mingi aliishi miaka 930 ambaye ni Adam.

Musa anakufa na miaka 120 akiwa mwenye nguvu... Kutoka kwa Adam hadi kwa Musa ni miaka mingi sana, zaidi ya 2,000. Na Musa hakufa kwa uzee ndo maana Biblia inasema alikuwa akiwa mwenye nguvu.

Kutoka kwa Adam, Musa na sasa binadamu wa dunia ya leo ni takribani miaka 6,000 kwa mjibu wa Biblia ila lifespan (umri wa kuishi) umetoka miaka 930 ya Adam hadi 80 ya mwanadamu wa sasa (Na hii miaka 80 mtu anafika kachoka kweli kweli)

Hii inanipatia picha kwamba, miaka 100 au 200 ijayo, mtu kufikisha umri wa miaka 50 hadi 60 itakuwa jambo gumu sana (Kama tunavyoona Covid ikawatafuna wazee zaidi, na wengine ni watu wa miaka 40+ tu)

Je, hii inakupa picha gani baada miaka 1,000 ijayo??

Pia tutazame mabadiliko ya miili yetu kwa sasa.... watoto wanawahi sana kubalehe na kuvunja ungo. Si ajabu kwa sasa kuona binti wa miaka 8 au 9 kashaanza kubalehe. Zamani kidogo ilihitaji miaka 12 hadi 15 kwa mtoto wa kike kuingia balehe.

Tazama pia maumbo ya wachezaji mpira wa miaka ya 1980 hadi mwanzoni mwa 2000 ni tofauti kabisa na maumbo ya wachezaji mpira wa kizazi cha sasa.

Extinction ipo, japo ni miaka mingi ijayo, kadri tunavyozidi kuwa wengi ndivyo umri wa kuishi unavyozidi kupungua pia... kama ambavyo hatujui mwanzo wa dunia ndivyo ambavyo hatutojua mwisho wa dunia.
 
Nita elimika zaida iwapo utatoa na chanzo/asili yakutokea viumbe vipya maana umejikita kuelezea namna vinavyotoweka bila kueleza na chimbuko la kila viumbe.
Kuna mifano.mababu zetu waliishi miaka 100 na kuendelea, mpaka sasa wapo wanaomalizia hizo miaka wanatoweka duniani, sasa hivi mtu akifika 60 anaondoka kwa sababu mbalimbali ikiwemo mabadiliko ya tabia nchi na lishe, mtoto wa miaka 10 utafikiri miaka 20,au zaidi. Magonjwa yamekuwa mengi kuwaondoa Binadamu duniani , pia nyakula sasa hivi vinaondoa Binadamu wengi sana genetic modified food zinashusha kinga za mwili Corona au ugonjwa wowote ukipita unasukuma kama mlevi. Mifano unayo mingi angalia babu zako na Kaka zako tofauti zake au baba na mama yako na Bibi au babu zako Kama wapo Kuna tofauti kubwa sana wa uimala wa mwili. Au wewe na baba yako angalia uimala wa miili yenu. Siku zinavyoenda ndivyo Binadamu anapotea bila kujua.
 
Adui mkubwa wa binadamu ni binadamu mwenyewe, kwa uchafuzi na uharibifu wetu wa mazingira na magonjwa tunakuwa tunajipunguza wenyewe inagawa kuna baadhi hata kwenye magonjwa watakuwa wanapata immunity...

Ila kumbuka hata tusipokuwa extinct kuna siku nishati inayo-power jua (nuclear energy) kuna siku itakwisha na hapo ndio itakuwa mwisho wa the Planet Earth as we know it

After the Sun exhausts the hydrogen in its core, it will balloon into a red giant, consuming Venus and Mercury. Earth will become a scorched, lifeless rock — stripped of its atmosphere, its oceans boiled off. ... While the Sun won't become a red giant for another 5 billion years, a lot can happen in that time.
 
Aise kuna kaukweli hapa mkuu. Kadri siku zinavyozidi kwenda binadamu anazidi kua dhaifu. Na sio binadamu tu hata wanyama wanaotuzunguka nao wanaishi kwa machanjo na madawa tu la sivyo wakiachwa bila tiba na wao wanajifia mapema kwa magonjwa.
 
Baada ya UVIKO-19.sijui Kuna janga gani laja.nikweli kizazi hiki kitatoweka haraka Sana.
Lazima kwanza wote dunia tupate chanjo alafu unakuja ugojwa wa kusafisha wote ambao hawakupata chanjo. then tunawasha chipset mlio baki wote mnakuwa mali ya wenyewe ila kama yesu yupo atashuka kabla hali haijakamilika
 
HATA BINADAMU WA SASA IPO SIKU ATOWEKA (EXTINCT)

[emoji117]Iko hivi, hakuna species yoyote ambayo itaishi milele(hakuna immortal species),Kila kundi la viumbe wa jamii moja(species) ipo siku litatoweka (extinct) na kubaki historia tu kuwa lilikuwepo juu ya uso huu wa dunia..
[emoji117]Miaka zaidi ya million 230 iliyopita kabla hata mwanadamu hajatokea duniani kulikuwa na viumbe wanaitwa dinosaurs ambao ndio walikuwa dorminant kwenye ardhi yote ya dunia (terrestrial)lakini hadi leo imebaki historia tu hawapo wametoweka (they extinct)..
[emoji117]Hadi sasa kuna mabilioni ya species ambazo tayari zimetoweka(they became extinct) kwa sababu mbali mbali ikiwemo organic evolution na kushindwa kuyakabili mazingira hasa kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi..
[emoji117]Asili ya mwanadamu imetokea mbali zaidi ya miaka milion 5 hadi 7 iliyopita wakati dunia ipo tangu miaka zaidi ya bilion 4 iliyopita umesha jiuliza kwanini binadamu
Kachelewa mno kuwepo duniani?
[emoji117]Kabla ya kuwepo sisi binadamu wa kisasa kuna species nyingi tu za binadamu wa kizamani ambazo zimeshatoweka na hazipo tena ikiwemo ndugu zetu kina homo habilis, homo erectus n.k na sasa tupo sisi tolea jipya la wanadamu tunajiita homo sapiens umesha jiuliza hata sisi ipo siku tutatoweka? Jibu ni ndio
[emoji117]Species yetu(Homo sapiens) pia miaka mingi ijayo itatoweka na haita kuwepo kabisa kwanini dalili zimeanza kuonekana mapema mno..
[emoji117]Binadamu wa sasa ameanza kuwa dhaifu kuhimili magonjwa mfano hai ni COVID 19 n.k,life style ya binadamu wa sasa imeongeza hatari ya kutoweka mapema mno ikichagizwa na maendeleo ya science na teknologia,Binadamu sasa anazidiwa na mabadiliko ya tabia ya nchi ndio maana visa vya watu wengi kufa kwa joto siku hizi imekuwa kawaida tu..Kuna mtalaam mmoja aliwahi kunambia binadamu waliokufa zamani mifupa yao ilichukua muda mrefu sana kuoza(decomposition) ila binadamu anakufa leo ni miaka michache tu unaweza kuta kabuli lake halina mabaki yoyote..mifupa inaoza ki rahisi tu
[emoji117] Kiufupi ni kwamba hakuna species yoyote ile inayo pendelewa kwamba iishi vizuri kuliko nyingine na hii ndio maana halisi ya nature,Maneno ya kwenye dini kuwa binadamu ana akili kuliko kiumbe yoyote huwa nayo yana ukakasi kwa maana kila kiumbe kila akili kwenye mazingira yake..
#itaendelea
[emoji3578]Jeremiah Kipoya
Lin inaendelea,,. Species Tradeoff
 
Aise kuna kaukweli hapa mkuu. Kadri siku zinavyozidi kwenda binadamu anazidi kua dhaifu. Na sio binadamu tu hata wanyama wanaotuzunguka nao wanaishi kwa machanjo na madawa tu la sivyo wakiachwa bila tiba na wao wanajifia mapema kwa magonjwa.
Hapa kuna unafuu kwa wale wenzetu wanaoishi ktk maisha ya vitisho, vita, magonjwa, njaa, vifungo, manyanyaso n.k wakiamini dunia ni uwanja wa fujo na si mahala salama pa kuishi.

Hivyo hujiandaa kwa lolote hata kufa ilimradi tu waende wasipokujua huenda pakawa na unafuu kuliko ktk hii sayari.

Mungu awape neema na rehema hao viumbe.
 
Lazima kwanza wote dunia tupate chanjo alafu unakuja ugojwa wa kusafisha wote ambao hawakupata chanjo. then tunawasha chipset mlio baki wote mnakuwa mali ya wenyewe ila kama yesu yupo atashuka kabla hali haijakamilika

kwaiyo kuna kaukweli gwajima anaongea kuhusu chip
 
Back
Top Bottom