Yaah mkuu, huwa wanapata chanjo pia kuwakinga na baadhi ya magonjwa.Mkuu hivi mbuzi /mbwa nao watapigwa hii kitu ya chanjo?
So na hii ya corona vp? Au wao siyo ishu hata wakipata, mana kipingi kile tuliambiwa mpaka mbuzi ana coronaYaah mkuu, huwa wanapata chanjo pia kuwakinga na baadhi ya magonjwa.
CCM your days are numberedHATA BINADAMU WA SASA IPO SIKU ATOWEKA (EXTINCT)
[emoji117]Iko hivi, hakuna species yoyote ambayo itaishi milele(hakuna immortal species),Kila kundi la viumbe wa jamii moja(species) ipo siku litatoweka (extinct) na kubaki historia tu kuwa lilikuwepo juu ya uso huu wa dunia..
[emoji117]Miaka zaidi ya million 230 iliyopita kabla hata mwanadamu hajatokea duniani kulikuwa na viumbe wanaitwa dinosaurs ambao ndio walikuwa dorminant kwenye ardhi yote ya dunia (terrestrial)lakini hadi leo imebaki historia tu hawapo wametoweka (they extinct)..
[emoji117]Hadi sasa kuna mabilioni ya species ambazo tayari zimetoweka(they became extinct) kwa sababu mbali mbali ikiwemo organic evolution na kushindwa kuyakabili mazingira hasa kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi..
[emoji117]Asili ya mwanadamu imetokea mbali zaidi ya miaka milion 5 hadi 7 iliyopita wakati dunia ipo tangu miaka zaidi ya bilion 4 iliyopita umesha jiuliza kwanini binadamu
Kachelewa mno kuwepo duniani?
[emoji117]Kabla ya kuwepo sisi binadamu wa kisasa kuna species nyingi tu za binadamu wa kizamani ambazo zimeshatoweka na hazipo tena ikiwemo ndugu zetu kina homo habilis, homo erectus n.k na sasa tupo sisi tolea jipya la wanadamu tunajiita homo sapiens umesha jiuliza hata sisi ipo siku tutatoweka? Jibu ni ndio
[emoji117]Species yetu(Homo sapiens) pia miaka mingi ijayo itatoweka na haita kuwepo kabisa kwanini dalili zimeanza kuonekana mapema mno..
[emoji117]Binadamu wa sasa ameanza kuwa dhaifu kuhimili magonjwa mfano hai ni COVID 19 n.k,life style ya binadamu wa sasa imeongeza hatari ya kutoweka mapema mno ikichagizwa na maendeleo ya science na teknologia,Binadamu sasa anazidiwa na mabadiliko ya tabia ya nchi ndio maana visa vya watu wengi kufa kwa joto siku hizi imekuwa kawaida tu..Kuna mtalaam mmoja aliwahi kunambia binadamu waliokufa zamani mifupa yao ilichukua muda mrefu sana kuoza(decomposition) ila binadamu anakufa leo ni miaka michache tu unaweza kuta kabuli lake halina mabaki yoyote..mifupa inaoza ki rahisi tu
[emoji117] Kiufupi ni kwamba hakuna species yoyote ile inayo pendelewa kwamba iishi vizuri kuliko nyingine na hii ndio maana halisi ya nature,Maneno ya kwenye dini kuwa binadamu ana akili kuliko kiumbe yoyote huwa nayo yana ukakasi kwa maana kila kiumbe kila akili kwenye mazingira yake..
#itaendelea
[emoji3578]Jeremiah Kipoya
Mkuu, hili suala la spishi ya binadamu kuja kutoweka hapo baadaye nakubaliana nalo mia kwa mia hata kama si kwa changanoto za kimazingira za hapa duniani lakini pia wanaastronomia wanasema kwa sasa nyota yetu JUA ipo nusu ya umri wake, sasa miaka mingi ijayo jua litabadilika na kuwa kubwa sana kabla ya mlipuko wa kinyuklia kutokea, JUA litameza sayari za karibu kama Zebaki, Zuhura na Dunia. Hapo sasa kila kiumbe hai kitakufa na kutakuwa hakuna maisha tena duniani, labda kwenye mifumo mingine ya JUA. Kwa hiyo spishi ya Homo Sapiens hata isipotoweka kwa mabadiliko ya kibaiolojia basi itakuja kutoweka pale nyota yetu itakapofikia mwisho wake!HATA BINADAMU WA SASA IPO SIKU ATOWEKA (EXTINCT)
[emoji117]Iko hivi, hakuna species yoyote ambayo itaishi milele(hakuna immortal species),Kila kundi la viumbe wa jamii moja(species) ipo siku litatoweka (extinct) na kubaki historia tu kuwa lilikuwepo juu ya uso huu wa dunia..
[emoji117]Miaka zaidi ya million 230 iliyopita kabla hata mwanadamu hajatokea duniani kulikuwa na viumbe wanaitwa dinosaurs ambao ndio walikuwa dorminant kwenye ardhi yote ya dunia (terrestrial)lakini hadi leo imebaki historia tu hawapo wametoweka (they extinct)..
[emoji117]Hadi sasa kuna mabilioni ya species ambazo tayari zimetoweka(they became extinct) kwa sababu mbali mbali ikiwemo organic evolution na kushindwa kuyakabili mazingira hasa kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi..
[emoji117]Asili ya mwanadamu imetokea mbali zaidi ya miaka milion 5 hadi 7 iliyopita wakati dunia ipo tangu miaka zaidi ya bilion 4 iliyopita umesha jiuliza kwanini binadamu
Kachelewa mno kuwepo duniani?
[emoji117]Kabla ya kuwepo sisi binadamu wa kisasa kuna species nyingi tu za binadamu wa kizamani ambazo zimeshatoweka na hazipo tena ikiwemo ndugu zetu kina homo habilis, homo erectus n.k na sasa tupo sisi tolea jipya la wanadamu tunajiita homo sapiens umesha jiuliza hata sisi ipo siku tutatoweka? Jibu ni ndio
[emoji117]Species yetu(Homo sapiens) pia miaka mingi ijayo itatoweka na haita kuwepo kabisa kwanini dalili zimeanza kuonekana mapema mno..
[emoji117]Binadamu wa sasa ameanza kuwa dhaifu kuhimili magonjwa mfano hai ni COVID 19 n.k,life style ya binadamu wa sasa imeongeza hatari ya kutoweka mapema mno ikichagizwa na maendeleo ya science na teknologia,Binadamu sasa anazidiwa na mabadiliko ya tabia ya nchi ndio maana visa vya watu wengi kufa kwa joto siku hizi imekuwa kawaida tu..Kuna mtalaam mmoja aliwahi kunambia binadamu waliokufa zamani mifupa yao ilichukua muda mrefu sana kuoza(decomposition) ila binadamu anakufa leo ni miaka michache tu unaweza kuta kabuli lake halina mabaki yoyote..mifupa inaoza ki rahisi tu
[emoji117] Kiufupi ni kwamba hakuna species yoyote ile inayo pendelewa kwamba iishi vizuri kuliko nyingine na hii ndio maana halisi ya nature,Maneno ya kwenye dini kuwa binadamu ana akili kuliko kiumbe yoyote huwa nayo yana ukakasi kwa maana kila kiumbe kila akili kwenye mazingira yake..
#itaendelea
[emoji3578]Jeremiah Kipoya
Alafu na binadamu tunavyopenda kujitukuza, tunafikiri kwamba tukitoweka sisi ndio mwisho wa dunia... na kusahau kwamba kuna viumbe vingine pia vitakuwepo. Jambo lingine ni kwamba sisi ndio tunaitegemea dunia na sio dunia inatutegemea sisi. Tukiamua kuua species zote still bado dunia itaendelea kuwepo (Dunia inaweza ikabaki na mimea tu na ikasonga)HATA BINADAMU WA SASA IPO SIKU ATOWEKA (EXTINCT)