SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 2,603
- 4,028
Mhubiri 10:19
"Karamu hufanywa kwa ajili ya kucheka, divai hufurahisha maisha; bali fedha hujibu kila kitu."
Mungu huwapendelea wanaojituma. Miujiza haiji kwa wavivu, huja kwa wale walio tayari kuipokea kupitia kazi. Fedha huleta suluhisho kwa mahitaji ya maisha: chakula, afya, elimu, malazi, na heshima.
Kwa hiyo, badala ya kulalamika au kusubiri muujiza utokee, amka, tafuta, fanya kazi, acha kukalia tu politiki.
Ndipo utaona Mungu akiongeza baraka zako kwa njia ya mikono yako mwenyewe.
Acha kutegemea miujiza ya mchongo ya kina Mwamposa na Kuhani Musa kila siku ,,,,,,, tumia akili, uwezo na muda uliopo leo kufanikisha maisha yako.