afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,151
- 9,272
Ha ha ha... Kinaanza kwa mbali...ngoja nikirudishe...
hahahahaha lol
hako kapaka kazuri kweli
nakaomba basi hahaha lol
haki kakipasuka kichwa ntalia hahah lol
Ha ha ha... Kinaanza kwa mbali...ngoja nikirudishe...
Mmh..... Noted!At list ungekuwa on vibration so change from silent to vibration at list tukufeel lol
Mmh..... Noted!
Thou the others prefers my 'silent mode'......:behindsofa:
umenirahisishia,ngoja nakutumia chaguo langu.....cheers!
The Following 9 Users Say Thank You to Mohammed Shossi For This Useful Post:
afrodenzi (Today), CPU (Today), Dena Amsi (Today), hashycool (Today), Kaizer (Today), klorokwini (Today), mpevu (Today), The Finest (Today), VoiceOfReason (Today)
unajua tuko chumbani saa hizi nilimbembeleza sana aje tu akushukuru kwanza hahahahahahaha lol
have a good weekend lol
ha ha haaaaaaaaaaa, wewe bwana........................Miss Judith nitungie mimi basi kipenzi
Hivi ulikuwa umepotelea wapi sio vizuri hata Yesu hapendi hivyoha ha haaaaaaaaaaa, wewe bwana........................
Hivi ulikuwa umepotelea wapi sio vizuri hata Yesu hapendi hivyo
Kabisa aisee maana naweza kusema tokea huu mwaka umeanza sijakuona hapa JF usishangae nikakwambia HAPPY NEW YEARyaani, sikujua siku zinakimbia kiasi hiki....... ukiwa busy kidogo tu utashangaa kuambiwa siku 10 zimeshapita. nadhani tuna haja ya kuzigandisha siku, au unasemaje rafiki?
huwa napatikana, ila siyo kihiiiiiiiiiivyo, majukumu bwana yanakamata.Kabisa aisee maana naweza kusema tokea huu mwaka umeanza sijakuona hapa JF usishangae nikakwambia HAPPY NEW YEAR
Nyie ndio machizi wanguuuuuuuuuuuuuuuuuu...............................................
The one and only NILHAM RASHED, The Finest, afrodenzi, hashycool, X-PASTER, Michelle, Husninyo, VoiceOfReason, Dena Amsi, mpevu, Dreamliner,Lizzy, Miss Judith, Baba Mtu, Shosti, Caramel,Bubu Ataka Kusema, Fidel80 (Freestyler ), Gurudumu , GY , Henge Inkoskaz , JF Moderator 2 , Kaizer KakaJambazi, Katavi, Kimey , Kiraka ,LD ,MANYANZA,Mawazo1109,Michelle ,MJINI CHAI, MwanajamiiOne , Mwenzetu , PakaJimmy, Rose1980 , Shapu STEIN, Teamo, WomanOfSubstance, Yo Yo ,Zion Daughter Wiselady, Firstlady1, PJ, genekai, CPU, Mr. President, Ivuga, klorokwini, Mwera na Mzee Mwanakijiji.
YouTube - nako 2 nako - mchizi wangu remix
Da ckujua mchizi wangu kanirusha hapa!
Poa mkuu pamoja!
Najua hasemi kitu ukiwa nae wewe unaongea tu yeye anatekeleza au kuitikia kwa kichwa thanks AD
mmhhh ijumaaa jioni
counter ya juu kwa sana
unakumbuka JF kweli
hahahahahahhaahah lol
badala ya kwenda mlimani kumsaidia Mama wetu wa Busara hahaha lol
vipi mambo dear??
bora unanisaidia wangu,,hebu twende nae mdogo2,,,uko poa lkn?
usijali my dear
na we unanisaidiaga sana na TF
sasa zamu yangu hahah lol
mie niko mzima leo sipeleki mchupa nisije nikachakachua mambo kama last weekend hahaha lol
vipi na we my dear ??
niko vizuri hapa mlimani nakazana kimey ashuke kutoka counter,,,lol!kama leo hupati zile zingine njoo nikupe mvinyo wa church