Sam Gidori
Senior Member
- Sep 7, 2020
- 165
- 414
Wanaija ni next level kwenye hizi ishu.. Dunia inawajua vemaRaia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amekiri makosa ya utakatishaji fedha katika mahakama nchini Marekani.
Hashpuppi, aliyejipatia umaarufu kwa maisha yake ya anasa mitandaoni, ambapo ana wafuazi zaidi ya milioni 2.5 katika mtandao wa Instagram, amekiri makosa ya utapeli unaofikia jumla ya dola milioni 24 za Marekani (sawa na zaidi ya Tsh. bilioni 55).
Nyaraka za mahakama zilizowekwa wazi zinaonesha katika tukio moja, Hashpuppi alijaribu kumtapeli dola milioni 1 za Marekani (zaidi ya Tsh. bilioni 2.3) mtu mmoja aliyetaka kufadhili shule moja ya watoto nchini Qatar baada ya kujifanya benki kwa kuonesha nyaraka feki na kutengeneza tovuti feki.
Hashpuppi anatajwa kuwa mmoja wa matapeli wakubwa zaidi wa mtandaoni duniani. Umaarufu wake na wezo wake wa kutengeneza mtandao kumemwezesha kufanikisha matukio makubwa ya utapeli kwa ufanisi mkubwa.
Tapeli huyo alikamatwa mwezi Juni akiwa nchini Dubai, anaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miaka 20 jela na atapaswa kulipa fidia kamili kwa wahanga.
Akili bila maarifaUnatapeli watu kisha unaonyesha mali hadharani!
amewachania mikeka yao.Wale watetezi wake sijui wana hali gani kama wameshasoma hii habari mpya
Akilipishwa na fidia anarudi kuwa kapuku....
kama watu wengi wa jf
Na stil he say Thanks GOD 😢Akili bila maarifa
Ndiyo ujinga wa matapeli na wahalifu wa nongo. Wakipata mali wanaanza showoff na kuwadha alarmUnatapeli watu kisha unaonyesha mali hadharani huko insta!🚶🚶🚶
Hahaha mkuu ile familia ya kitajiri ilikula nyundo mzito sana hizi mambo za kujishaua na pesa chafu kwene mitandao ya kijamii sio kabisaNashangaaga sana Mtu ni drug dealer au tapeli alafu unaonesha mtandaoni una maisha mazuri kweli????serikali sio falaa kiasi hichoo kuna ile familia ilifungwa Maisha kisa ujinga huo huoo...
Watetezi wa huyu tapeli walikua ni malimbukeni wenye akili za teenegers.Wale watetezi wake sijui wana hali gani kama wameshasoma hii habari mpya
Ila ivan nasikia alikuwa anafanya investment baada ya kutapeli sasa hawa ambao hawana investment sasaWatetezi wa huyu tapeli walikua ni malimbukeni wenye akili za teenegers.
Wengine mpaka leo hawaamini kuwa Ivan the Don alikua tapeli mganga feki.
DIAMOND PLATINUMZ siku yakimkuta ya kumkuta, sijui watetezi wake watsemaje?Raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amekiri makosa ya utakatishaji fedha katika mahakama nchini Marekani.