witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,749
Mkuu watu hawajui jinsi ambavyo ni rahisi kwa mtu kama yule kufilisika. Hana investment yoyote, hana kitegauchumi, hana biashara, hana assets, hana chochote kinachomuingizia kipato zaidi ya huo uchezaji! Na hakuna anaejua kama kweli kwa sasa anacheza au anauza supermarket. Mimi bet yangu ni kwamba jamaa hana 10m cash kwenye akaunti kwa sasa..




mkuu we ndo umeua kabisa!Sent using Jamii Forums mobile app