Hasheem Thabeet afanya kufuru Bilicanas

huyu mbona ni "Thabust....."........wengine tulishamsahau huku NBA kama ana-exist......
 
Ulimbukeni unamsumbua,zikiisha atakuja kutia akili.Hata 'askofu' Mollel wa Arusha alikuwa na kamtindo haka sijui kaishia wapi.
 
Raha ya ela ni kuendelea kuwakela wasio kupenda(haterz), mie coni tatizo Mbona mastaa kibao kama Foyd Myweather na McDonald wanamwaga ela na wa2 kimyaaaaa. Kaka kama zipo we mwagaa tu, mwagia wotee bab ukikutana na tusharobaro mwagiaaa bab coz your time is now hata jf mwagiaa bab..
 
hayo ni maisha yake binafsi!

ili mradi hakuzichana wala kuzichoma moto mie akha! inawezekana ilkua style yake ya kuwapa watu wake raha!

Tuache kumhukumu jamani!
 
Huyu naye ni wale wale. Si ninasikia ni mchaga huyu jamaa aisee?? Sasa ni kitu gani hiyo anafanya. Ulimbukeni tu, wabongo bwana utawajua tu hata akiishi mbinguni!!.

Sasa unatupa hela maana yake kwamba ukoo wake wote na familia yake yote wako vizuri kiasi kwamba hawahitaji tena hela. Nasema hivyo kwa sababu angeweza kwenda huko mgombani akawapa watu wanaomuhusu, nao wangemshukuru kwa dhati.

Anyway ndo hivyo.

Hebu nipe majina yake yote yale ya utotoni ili niwasiliane mwakilishi wetu kule uchaggani ili atupe hali ya utajiri wa ukoo wao.
 
Yoyo acha kufuatilia mambo ya mwanamume mwenzako, yaani nimeiangalia thread yako hujatoa solution kama alichokifanya Thabeet ni tatizo. Angalia, akina Rose wasije wakakutafuta wakuvalishe Khanga
nani kakuambia mie mwanaume?
Hivi wewe mbona unammaindi sana huyo dogo? Kutwa kucha una google habari zake. Hizo ni stalker tendencies Queen Yo Yo
Unataka My 7 inches rooster???i'll hit your G-spot on every thrust.....
 
Yo Yo at it again na thread zake za kimbeambea. Badala ya kutafuta pesa na nyie mnahangaika kuangalia jirani amekula nini anavaa nini..ha ha ha. Mwacheni dogo ale maisha, hamkumsaidia kupata hiyo hela na wala hana ubia na nyie kwene mikataba yake ya NBA, na wala hajawaomba ushauri.

hayo maneno yote ya mikataba yametoka wapi? Wewe unafurahi nn? Kurusha hela ndo starehe? Hivi maendeleo tutayapata kweli kwa mawazo ya hayo,waache wakemee ujinga huu.umeshasikia watu wenye fedha za kutosha kama billgates anagawa ela kijinga badala ya kufanya vitu vya maendeleo.
 
Hamtaamini ila huo ndo mwanzo wa ukichaa. Yaani hayo yote yanasababishwa na frustrations. Kaanza kuporomoka na hajui alifanyalo kwa sasa. Tusubiri tuone muda si muda atakuwa anacheza ligi za hapa home!
 
hayo ni maisha yake binafsi!

ili mradi hakuzichana wala kuzichoma moto mie akha! inawezekana ilkua style yake ya kuwapa watu wake raha!

Tuache kumhukumu jamani!

yap hapo umenena tatizo wabongo roho ya kwanin!
 
Hashim Sabiti from zero to hero......

Tumuombee Hashimu yasijemtokea kama yaliyotokea kwa Wanjiru mkimbiaji wa Kenya. Yeye baada ya kupata pesa za fasta kwa kukimbia kwa visekunde , akachanganyikiwa na kujikuta anaangukia mikononi mwa mashangingi ya Kenya yakamuua.

Hashimu watch out, unadhani ni wote wanafurahia mafanikio yako? Ukiangukia mikononi mwa ladies ndio kwisha habari yako.
 
hayo maneno yote ya mikataba yametoka wapi? Wewe unafurahi nn? Kurusha hela ndo starehe? Hivi maendeleo tutayapata kweli kwa mawazo ya hayo,waache wakemee ujinga huu.umeshasikia watu wenye fedha za kutosha kama billgates anagawa ela kijinga badala ya kufanya vitu vya maendeleo.
Kila mtu ana style yake ya kula maisha. Sasa sielewi nyie kinawauma nini mazee.? Hamjamsaidia kuosha viatu vyake wala kufanya laundry sasa iweje leo mjifanye mna-care sana. Toeni upuuzi wenu huu.
 
Wanamichezo wanapata pesa nyingi sana sasa sijui kwa nini wanamichezo wetu wanangangania kuishi bongo ambappo hakuna maslahi
 
kwanza ningefurahi sana angekutana na mcheza mpira mmoja na kumtemea mate, sisi wachezaji wetu wengi wanapenda sana kungangania ligi za ndani wakienda nje ya nchji hawataki kujishughulisha kutafuta timu wapo wapo tu wanavuta mibangi tanzania , sasa hivi mtu kaja anawapiga bakora wanajifanya wanaona wivu mara oo anakufuru , pumbafu zenu ,,,vipaji mnavyo mmevikalia huyo jamaa hajabahatisha katafuta na kahangaika hadiaakatoka
 
Huko nyuma waliowahi chezea pesa uwa wanaishia pabaya. Kuna mchezaji mmoja wa mpira wa miguu wa Brazil (miaka ya 80) yeye alikuwa anachukua kiberiti anawasha moto halafu ndo anachukua noti na kuiwasha baadaye anawashia ile noti sigara tena hadharani. Mwisho wake ulikuwa mbaya sana.

Huyu jamaa mimi sina uhakika kama kafanya vile kwani haya magazeti ya Tsh. 100 ni hatari kubwa waweza kukusingizia kitu chochote wapate cha kuandika OVYO kabisa! Yawezekana alimtunza mwanamuziki Dola 50 ( 70,000/=) na kumtunza jamaa mwingine aliyekuwa anacheza vizuri kiasi kama hicho wao wakadai kuwa ametupa pesa.

Lakini kama alifanya hivyo ni vizuri mnaomfahamu mmsaidie siyo kumwombea mabaya
 
Back
Top Bottom