Hasheem Thabeet afanya kufuru Bilicanas

Dawa ya Hasheem ni Michael Kimei, jokes aside eti kakufuru mnajua kagawa kiasi gani? Unaweza kukuta ata haikufika $ 1,000, akifanya Diddy mnamsifia akifanya mbongo mwenzenu mnampiga madongo duh!
 
Back
Top Bottom