Hasara za meditation

DA HUSTLA

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Posts
3,930
Reaction score
4,291
Za jumapili wapendwa


Nimekua nikitaman kujifunza meditation for so long lakin kusoma vitabu bila Ku practice inakua haimake sense na bila mwalimu Ku practice inakua ngumu

Sasa nimefuatilia wapi ntapata mwalimu kuna kanielekeza mikocheni -Tanzania meditation centre (wanafanya na yoga pia)nkaulizia ABCs like subscription fee,timetable etc

Swali langu kuna watu wanasema ukikosea unaweza run mental au mtu anaweza kuinstall mapepo kwako(especially wale wenye mambo ya Ku empty your mind )

Sasa naomba msaada
1-hao Jamaa wakoje Tanzania meditation centre
2-je ntakuaje makini na watu wenye nia mbaya
3-je kuna umuhimu Wa kufanya yoga pia
4-anything constructive
cc Mshana jr
 
Fanya fanya uchukue na gamba la freemason kabisa unakuwa full mkoba,yaani unakuwa unapaa shaaa,kama kipanga.
 
Welcome to the path society, jifunze kuhusu path society then utajiunga wapo kila mkoa Tanzania hapa.
 
Nitarejea
 
Nakushauri nenda Mindu street Dar ni offroad united nations rd.. Baada ya njia ya kuingia Muhimbili kuna kituo pale utasaidika...
Ishu za majini na ku run mental si kweli
 
Meditation haina hasara, zaidi ya kuonekana mtulivu, mstaarabu, kutokupenda mambo ya kijinga, kuwa fit na mwenye maamuzi ya busara, usishangae kukosa hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara kama zamani, ni nzuri, yaweza kukufanya na kuonekana uko kivyako vyako, I totally recommend it to everybody, kama utaiweza ofcourse..
 
Nakushauri nenda Mindu street Dar ni offroad united nations rd.. Baada ya njia ya kuingia Muhimbili kuna kituo pale utasaidika...
Ishu za majini na ku run mental si kweli
Hicho kituo kinaitwaje
 
Thanks my boss

Naomba hapo umeweka notion kama nkiweza,is it kinda hard thing
 
Thanks my boss

Naomba hapo umeweka notion kama nkiweza,is it kinda hard thing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…