Has Kikwete lost his "Legitimacy" to Lead?

Has Kikwete lost his "Legitimacy" to Lead?

FMES utatuua kwa pressure bure, endapo mafaili ya haya mambo yapo kwenye pending cabinet basi imejaza masijala. JK is very indecisive, ni balaa kuwa na Rais asiyeweza kutoa maamuzi. Lakini pia hivi kazi ya Waziri Mkuu ni ipi? naona Pinda naye ni matatizo makubwa.

Mkuu keep on this thread, ni mahala pazuri kujiona tulikotoka na tulipo ili hata wanaomtetea muungwana waone kwa uwazi na kuamua wakiwa na ufahamu sahihi wa mambo yaliyopo.
 
Jakaya ana hulka moja ambayo wengi mnaompinga hamtakubaliana nayo; toka tukiwa nae chuoni ni mtu ambaye sio mnafiki!! Najua hamuwezi kuamini hili lakini ni kweli ; Jakaya has always been loyal to his friends, wakati wa raha na wakati wa shida. Hilo mimi nitamtetea to the hilt!!

Sasa kwa wale wasiomfahamu wanadhani hata kama hiyo kamati ya Mwinyi itarecommend wakina RA na EL wafukuzwe CHAMANI nawaapieni Jakaya will NEVER NEVER support such a move; he is going to marshall his forces within Nec [ spearheaded by the likes of Ngeleja from Shinyanga, Guninita from Dar and Kusila from Dodoma]to vehemently oppose the recommendations!! Hapo hatakuwa yeye aliyekataa mapendekezo bali NEC ya CCM!

Huyo ndio Jakaya Mrisho Kikwete!!!
 
Amini usiamini hata tusiomjua matendo yake yanatueleza tosha bila ya hata we kutuelezea. Na hii si sifa kwa raisi wetu, bali ni tatizo kwa taifa letu leo hii hiyo loyalty yake na kutokua mnafiki kwa marafiki zake ndio chanzo cha matatizo.

Hao hanao wawekea loyalty hawa muheshimu yeye kama anavyo waeshimu wanamuaribia sifa za uraisi na kuifanya kazi yake iwe ngumu. Akiweza dili na hawa ipasavyo, mengine ni raisi kama kweli ana nia ya kutekeleza promise zake.
 
You took the words out of my mouth.... Blind loyalty is not a virtue but a vice! Pia ni kukosekana kwa mtu huyu kuweza kufanya assessment, ye kila kitu anaangalia kama mtu ni mshikaji au la. Very narrow minded. Hii naiweka katika column ya CON siyo PRO.
 
I beleve that the criticisms levelled against Yusuf Makamba are genuine, I am afraid most of us will fall into his own trap of discussing personalties instead of focussing on pertinent issues!

Kitine and Quares have raised very serious issues pertaining to the shortcommings in Kikwete's government, to dismiss them on the basis of their past records is falling in Makamba's trap of discussing personalities which will not help our country solve its critical problems. It is critical that we focus our attention on basic governance issues in order to be constructive!!
 
Jakaya ana hulka moja ambayo wengi mnaompinga hamtakubaliana nayo; toka tukiwa nae chuoni ni mtu ambaye sio mnafiki!! Najua hamuwezi kuamini hili lakini ni kweli ; Jakaya has always been loyal to his friends, wakati wa raha na wakati wa shida. Hilo mimi nitamtetea to the hilt!!

Sasa kwa wale wasiomfahamu wanadhani hata kama hiyo kamati ya Mwinyi itarecommend wakina RA na EL wafukuzwe CHAMANI nawaapieni Jakaya will NEVER NEVER support such a move; he is going to marshall his forces within Nec [ spearheaded by the likes of Ngeleja from Shinyanga, Guninita from Dar and Kusila from Dodoma]to vehemently oppose the recommendations!! Hapo hatakuwa yeye aliyekataa mapendekezo bali NEC ya CCM!

Huyo ndio Jakaya Mrisho Kikwete!!!
Hii ni weakness na wala si kitu cha kujivunia katika uongozi.

Rafiki wa karibu kabisa wa Fidel Castro, General Arnado Ochoa Sanchez ambaye walikuwa naye tangu kwenye guerilla war na kina Che Guevara ya kumtoa Batista madarakani 1959, alijihusisha na biashara ya madawa ya kulevya, madili yake yakabumbuluka. Adhabu ya biashara ya madawa ya kulevya ya level hiyo Cuba ni kifo.

Watu wote wakajua Castro hawezi kumnyonga rafiki yake waliopigana wote msituni. Castro akasema nasikitika sana mshikaji wangu kapatikana na hatia katika hili, siendeshi serikali kwa upendeleo, jamaa ni jenerali wangu, mshkaji wangu wa siku nyingi, revolutionary war hero ( Cuba hii ni kama u-mungu mtu fulani hivi), lakini mnyongeni tu kama sheria inavyosema, mchizi aka sign documents, rafiki yake akauawa.

Hapo ndipo mtu anaonyesha uongozi, wengine wote wakiona huyu kiongozi kamnyonga mshikaji wake wa karibu, sisi vibaka si ndiyo itakuwa noma.

Si Kikwete anayekumbatia watu kwa sababu ya ushkaji huku mambo ya nchi yanadorora.
 
Sorry, my Kiswahili is very poor.

Dk Hassy Kitine, isn't that the guy who brought Makete at the verge of collaps, who obviously his whole life stole from left, right and center?

A so called MP, who rather ripped off his district than doing sometthing for its development. Isn't
Makete the place were 100dreds of NGOs are registered dealing with development, orphans, AIDS... but the money seems to end in the pockets of people not in Makete. Isn't that a very good example for the real problems of Africa?

Not any longer the aftermath of colonialism and not even corruption, the problem is theft and that all the money poured in had not helped even a bit, but has indeed financed bunches of criminals, who made it up in any institution, be it ministries (MoH), land and settlement and likely any can put on the list, isn't it the church who should be put here as one of the most disgusting and prominent members and isn't this system one, where also criminal businesspeople from Tanzania and abroad can steal....?
I have not been able to comprehend how Kitine ripped off the district... ...how stealing NGOs owes it up to Kitine for their misdeeds. What is the nexus?
 
Siasa za Nigeria zishaanza kuingia bongo, unahonga wanafunzi wachache wa vyuo vikuu wenye njaa, wanaanza maandamano na vurugu kukuunga mkono. Mwanafunzi wa chuo kikuu anayeunga mkono sera za Kikwete hata elimu yake ya chuo kikuu naitilia mashaka.

TheDoctor,

The fact that Dr. Kitine is tainted by corruption surely diminish his moral standing, but as I pointed out on another post here, replying to a similar argument leveled at Mr. Mateo Qaresi, the fact that these people have issues does not remove the fact that they can still say the truth regardless of their records.

We should concentrate on what is said, is what Dr. Kitine said the truth or not? Once you start engaging in ad hominem attacks (focusing on the person instead of the argument) you will be reduced to no discussion, after all, who among us doesn't fall short in one aspect or another?

Ad Hominem attack
1. Person 1 makes claim A.
2. Person 2 makes an attack on person 1.
3. Therefore 1's claim is false.

Illogical !

I have been guilty of this myself. The pretence that reputation alone can qualify or disqualify a comment is fallacious.Let's stick to the issues, and forget th personalities.

I have said again and again here, one of Africa's largest problems (the whole developing world really) is the fact that we Africans cannot operate on policy, we tend to revolve around personalities and strongmen. This is why you still have people up to today crying for Nyerere while Nyerere left a body of works that can formulate guiding principles for his thinking, but people do not want to understand his philosophy of life, they want to resurrect him and let him lead.

This same focus on personalities -not facts and policies- will blind us into dismissing the Qaresis and Kitines of this world just because they beat their wives and use public funds improperly to take them to Canada for hospitalization.

We should use even mafisadi to end ufisadi, we should not be reduced to the ongoing CCM factions shenanigans, we should float above them pursuing big ideas.

Kusema "We should use even mafisadi to end ufisadi............ ," ni kuendeleza our favourite sport: kulonga kusiko na matokeo.

Fisadi yoyote atakayekubali kumpinga fisadi mwenzake ni yule asiye madarakani na asiye na nafasi. Hivyo kumpinga fisadi mwenzie ni kutafuta madaraka au nafasi hili afanye tena ufisadi wake.
 
Wewe huelewi strategies za vita,

Hapa kuna short term goals na long term goals. Let's say Butiku ni fisadi tu aliyefanya mengi ya ajabu enzi za Nyerere, na sasa anapiga kelele (za kweli) kuhusu uchafu wa JK.

As long as anasema ukweli, hatuwezi kukataa mchango wake katika kumtoa JK.

JK akishatolewa hapo ndipo tutaweza kusema hata Butiku naye ni msanii tu, kwa hiyo hatuwezi kumpa position ya power.

Kama nilivyosema hapo juu, tushaingiliwa na nyoka nyumbani (JK) kitu cha kwanza kufanya ni kumtoa nyoka huyu.Tunajua kina Butiku na CCM ndio walioacha mlango wazi na kumruhusu nyoka huyu kuingia nyumbani, lakini hatuwezi kuanza kutafuta nani kaacha mlango wazi kabla ya kumtoa nyoka.

Tumtoe huyu nyoka JK kwanza, tusafishe na magamba yake yote yenye sumu kutoka ndani ya nyumba (mtandao) tukishamtoa, sasa tutafunga mlango na kuana kujadiliana nani aliacha mlango wazi, na awajibishwe vipi.

Lakini tukianza kujadiliana nani aliacha mlango wazi (kina Butiku na wenzake wa CCM) huyu nyoka atatuuma na ma EPA / Buzwagi/eremeta mengine tutabaki tunashangaa shangaa na bila shaka kujifia kutokana na sumu hii.
 
Wakuu JF salaam,

- Wote tumeyasikia yote yaliyosemwa kwenye kongamano la Mwalimu's Foundation, infact hata Mangula naye amejitokeza na kusema yake kuhusiana na ubovu wa serikali ya sasa chini ya uongozi wa Rais wetu Mheshimiwa Kikwete, na cha kutisha sana ni pale Rais aliporudi nchini na kudai kwamba anajitayarisha kuwajibu wale wote tunaohisi kwamba uongozi wake una matatizo, na akadokeza kwamba wengi tunaomkosoa tunasumbuliwa na chuki za binafsi.

- Ninasema hivi, wakati Rais anajitayarisha kujibu mapigo ni vyema na sisi wananchi tukaweka wazi our case against Rais na serikali yake, tena with facts! Sasa tafadhalini sana ndugu zangu tujitahidini kuweka facts za mapungufu ya Rais wetu wa sasa, yaani Mheshimiwa Kikwete na serikali yake toka ashike madaraka, miaka minne iliyopita!

- One thing ninataka kuamini ni kwamba wote hapa tunakubaliana kwamba toka ashike madaraka hakuna hata moja zuri alilolifanya, lakini kama lipo lisemwe hapa! Labda tukimuwahi kabla hajajitokeza tunaweza kupunguza some nonsense kwenye majibu yake na pia tutawasaidia ma-Prosecutors wetu, hasa DPP na Hosea kuanza kutayarisha kesi againts mafisadi!

Respect.

Field Marshall Es!

kaka heshima yako,nashangaa umetaka our case lakini unataka tufikirie kama wewe kuwa we are all against Rais na kuamini kuwa Rais hakuna zuri alofanya,samahani ligha yangu but this is WRONG na hauko OBJECTIVE unless ubadili post yako niweze kuchangia si WOTE TUNAO AMINI KAMA WEWE.

Bahati mbaya taifa hili linataka kuwa taifa la walalamikaji na watu wanaotafuta majibu majibu rahisi kwa mambo magumu na JF should not be that way tusiwe SUBJECTIVE let us be objective
 
M-Bongo,

Mwanzo hata mimi nilitaka kufikiri kama wewe, kwamba FMES anataka ku-impose msimamo wake kwa wote.

Lakini ukiangalia vizuri alivyoandika amesema "One thing ninataka kuamini ni ... ". Anaongelea imani yake, haongelei fact, kwa hiyo amewapa challenge mnaoona Kikwete amefanya mazuri mje mmuonyeshe mazuri yamefanyika wapi.

Sasa kama wewe una facts za kuonyesha kwamba Kikwete kafanya jambo zuri lilete hapa umuonyshe FMES vinginevyo.

Kuna muungwana kaja na post ya mstari moj tu, lakini nzito sana katika kumpinga FMES, kaandika kitu to the eefect kwamba si kweli kwamba JK hajafanya cho chote, kajenga chuo kikuu Dodoma, sasa kama unaweza kutetea hilo au kuleta jengine utakuwa objective.

Ukitaka kukataza watu wasiwe na imani zao utaingilia mpaka uhuru wa dini za watu humu.

FMES kaongelea imani yake, m-convince vinginevyo.

By the way University of Dodoma does not count, iko plagued na mismanagement na innuendos, ni sawa na initiativ ya ujenga shule kibao za Lowassa amabazo hazina walimu. Strategically mediocre.

Na neno mediocre lisieleweke kama zip zero, it is just bora liende isiyo distinction.Of course rais hata awe mzembe vipi lakini hashindwi kujengakichuo au kiwanja cha mpira, hata cha kufadhiliwa au kmabaki ya dministration iliyopita.Kikwete hajafanya chochote ninachoweza kukikumbuka upesi chenye distinction kilicho rise above mediocrity.

Labda unisaidie kunikumbusha.
 
Wewe huelewi strategies za vita,

Hapa kuna short term goals na long term goals. Let's say Butiku ni fisadi tu aliyefanya mengi ya ajabu enzi za Nyerere, na sasa anapiga kelele (za kweli) kuhusu uchafu wa JK.

As long as anasema ukweli, hatuwezi kukataa mchango wake katika kumtoa JK.

JK akishatolewa hapo ndipo tutaweza kusema hata Butiku naye ni msanii tu, kwa hiyo hatuwezi kumpa position ya power.

Kama nilivyosema hapo juu, tushaingiliwa na nyoka nyumbani (JK) kitu cha kwanza kufanya ni kumtoa nyoka huyu.Tunajua kina Butiku na CCM ndio walioacha mlango wazi na kumruhusu nyoka huyu kuingia nyumbani, lakini hatuwezi kuanza kutafuta nani kaacha mlango wazi kabla ya kumtoa nyoka.

Tumtoe huyu nyoka JK kwanza, tusafishe na magamba yake yote yenye sumu kutoka ndani ya nyumba (mtandao) tukishamtoa, sasa tutafunga mlango na kuana kujadiliana nani aliacha mlango wazi, na awajibishwe vipi.

Lakini tukianza kujadiliana nani aliacha mlango wazi (kina Butiku na wenzake wa CCM) huyu nyoka atatuuma na ma EPA / Buzwagi/eremeta mengine tutabaki tunashangaa shangaa na bila shaka kujifia kutokana na sumu hii.

Sir:

Ngoja kwamba nikubali kuwa sielewi strategies za vita. Lakini kuna scenario moja uliyosahau kuelezea.

Kwa sababu virtual fighters wengi wa hapa JF hawana political profiles. Hivyo kuna uwezekano mkubwa wa hao mafisadi walio bench sasa kuchukua nchi na waliopo madarakani kuwa bench.

Mtazamo wangu: hao watakaoingia madarakani hawatasahau kujikumbusha tabia yao ya zamani. Je watakapokuwa wanajikumbusha ufisadi ni nani ataongoza vita vingine? Je itabidi umchukue Lowassa na Kikwete?
 
...pia ameacha kumchukulia Hatua Mwendeshaji wa "the utamu" kwasababu ya Uswahiba
 
Zakumi mkuu wangu,

Unachosema ni kweli kabisa, narudia tena, kweli kabisa.

Ndiyo maana nasisitiza, narudia, nasisitiza, tuna short term strategy na long term strategy.

Short term strategy ni kumtoa Kikwete na mafisadi wenzake, whether kwa kutumia msaada wa Butiku au shetani mwenyewe I don't care (figure of speech to express my position, y'all know I don't believe in neither god nor the devil, man is god and man is the devil as far as I am concerned, but that is another thread altogether)

The long term strategy, ni kuhakikisha haturudii makosa, na haturudishi hawa wazee kama Butiku waliofanya sex parties za "Northerners" na kina Mkono wakiwa Ikulu. Tunawajua kuliko unavyoona hapa JF.Wote hawa kina Butiku na Timothy Apiyo kama kungekuwa na rule of law Tanzania wangetakiwa kushtakiwa kwa sexual abuse towards ma secretary na wapishi wa Ikulu, of all people, sio kwamba hatujui, tunajua sana tu mkuu.Hawa wazee wengine wana mapungufu makubwa ambayo yana wa disqualify uongozi hata wa kijiji achana na taifa.

Lakini the immediate concern ni kumtoa Kikwete, then tukishamtoa Kikwete, tuta discuss jinsi gani tunaziba nyufa zote ili tusiruhusu kina Butiku na Qaresi wasirudi. Lakini kabla hatuhjamtoa Kikwete hatuwezi kukataa msaada wa kina Butiku na Qaresi.
 
Jakaya ana hulka moja ambayo wengi mnaompinga hamtakubaliana nayo; toka tukiwa nae chuoni ni mtu ambaye sio mnafiki!! Najua hamuwezi kuamini hili lakini ni kweli ; Jakaya has always been loyal to his friends, wakati wa raha na wakati wa shida. Hilo mimi nitamtetea to the hilt!! Sasa kwa wale wasiomfahamu wanadhani hata kama hiyo kamati ya Mwinyi itarecommend wakina RA na EL wafukuzwe CHAMANI nawaapieni Jakaya will NEVER NEVER support such a move; he is going to marshall his forces within Nec [ spearheaded by the likes of Ngeleja from Shinyanga, Guninita from Dar and Kusila from Dodoma]to vehemently oppose the recommendations!! Hapo hatakuwa yeye aliyekataa mapendekezo bali NEC ya CCM! Huyo ndio Jakaya Mrisho Kikwete!!!

nadhani tafsiri ya neno/dhana ya unafiki imeangaliwa kwa ufinyu sana.

katika mapana yake neno mnafiki linaweza kutumika hata pale mshikaji wako anapoharibu kisha wewe unazuga kama hakijatokea kitu. sasa tujaze wenyewe.
 
Kafara,

Kwa minajili hiyo JK ni mnafiki mkubwa sana, if only ukiangalia issue ya Lowassa.
 
kaka heshima yako,nashangaa umetaka our case lakini unataka tufikirie kama wewe kuwa we are all against Rais na kuamini kuwa Rais hakuna zuri alofanya,samahani ligha yangu but this is WRONG na hauko OBJECTIVE unless ubadili post yako niweze kuchangia si WOTE TUNAO AMINI KAMA WEWE.

Bahati mbaya taifa hili linataka kuwa taifa la walalamikaji na watu wanaotafuta majibu majibu rahisi kwa mambo magumu na JF should not be that way tusiwe SUBJECTIVE let us be objective

- Mkuu pole sana, lakini ninaamini majibu ya Mkulu Bluray yanakutosha ninatakiwa nisiongeze anything lakini kwa kukusaidia nitaongeza kidogo tu, wewe hukuelewa lakini umesaidiwa na walioelewa ndio maisha yaani uwezo wa kuelewa hutofautiana,

- Ndio maana kuna waliokuwa wanamuelewa Mwalimu kirahisi sana, lakini wengine ilibidi mpaka awalambe mbakora Ikulu ndio waelewe anachosema, Bwa! ha! ha!, now ngoja tuone malalamiko yako:-

- One thing ninataka kuamini ni kwamba wote hapa tunakubaliana kwamba toka ashike madaraka hakuna hata moja zuri alilolifanya, lakini kama lipo lisemwe hapa!

- Neno "ninataka kuamini" nafikiri ndilo limekuchanganya sana sasa hebu lisome tena uone maana yake kama inafanana na conclusion yako then nitakusaidia zaidi,

- Halafu tizama another catch hapo chini "lakini kama lipo lisemwe hapa" na hii nayo inaonekana imekutoa kapa, maana ungenielewa basi ungesema mazuri aliyoyafanya, lakini badala yake unanitafuta mimi personal, ndio maana hapa JF malumbano yasiyo na faida kwa taifa hayaishi,

- Next time kama huna uhakika na unachokisoma hapa, basi uliza kwenye PM kwanza, kupunguza hizi aibu kwa watu wazima kuja hapa kuanza kuvuana nguo kuhusu uwezo mdogo na mkubwa wa kuelewa, na by the way punguza jazba na mimi mkuu maana nakuona kila kona ukinitafuta sana, tatizo lako sio mimi tizama kwenye kioo utamuona adui yako wa kweli! Mimi sigombei nafasi yoyote, ila ninasema tena wazi nani anafaa na nani hafai kwa hili huwezi fanya anything, achana na mimi mkuu sikuzaliwa jana!

- Sasa think about it, maana sitaki kumwaga mtama hapa!

Respect.

FMEs!
 
...pia ameacha kumchukulia Hatua Mwendeshaji wa "the utamu" kwasababu ya Uswahiba

- Mkuu heshima yako sana, pale hapakuwa na kesi maana kama tulivyoambiwa ni kweli, basi huwezi kumshitaki raia wa Uingereza anayeishi nchini kwao Uingereza kwa sheria za Tanzania, the whole thing ya kumshitaki na kumsamehe was a big hoax na ndio uozo wenyewe tunaousema hapa!

Respect.

FMEs!
 
Tanzania: Lowassa Implicated in Richmond Scam

Tom Mosoba
7 February 2008

The Parliamentary select committee that investigated the Richmond scandal yesterday called for the resignation of all top government officials implicated in the controversial contract. Prime Minister Edward Lowassa, who was adversely mentioned in the report, was asked by the team to weigh out his position as leader of government business and take necessary steps on his volition.

But the committee also asked parliament to demand accountability from the PM, noting that they were legally empowered to approve his appointment and the role he played in the House. The committee also said that ministers Nazir Karamagi and Dr Ibrahim Msabaha should resign or appropriate measures be taken against them for failing to represent the state as expected and for deliberately championing for Richmond and Dowans.

But members said the government should on its own take stern disciplinary measures, including dismissing its officials who caused the country to incur huge losses by entering into the contract.

Kyela MP Harrison Mwakyembe, who chaired the probe team, said his team had proved that the Richmond contract and its inheritor - Dowans - overlooked the critical law provisions, reeked of corruption and showed undue influence peddling by senior government officials.

The team of four MPs - Stella Manyanya, Hebert Mtangi, Lucas Selelii and Mohamed Mnyaa - interviewed 75 people, asked 2717 questions and collected 104 documents during the course of its investigations.

Its report yesterday brings to an end the long-running search for the truth in the controversial tender that has been running since early 2006.

The committee said the State should discipline AG Johnson Mwanyika and state attorney Donald Chidowu, who was in the government negotiating team, for failing to properly advise the state and for ignoring obvious legal flaws.

It also called for disciplining of all those who sat in the government negotiating team, including Treasury permanent secretary Gray Mgonja, his energy counterpart, Arthur Mwakapugi and several senior officials in the parent ministries.
 
Tanzania presidential candidate accused of receiving foreign funding

Dar es Salaam, Tanzania (PANA)

Tanzania's controversial opposition leader, the Reverend Christopher Mtikila alleged Friday that ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) presidential candidate Jakaya Kikwete had used funds from Iran to defeat his opponents at the party's recent convention.

The Chairman of the Democratic Party claimed at a press conference that the Iranian government through Tanzanian MP Rostam Aziz, had funded Kikwete's campaign for over 10 years.

The press conference was held ahead of a meeting by eight opposition parties to plan a common strategy against the CCM in Tanzania's October elections.

Mtikila alleged that the Iranian government had set aside a substantial amount to prop presidential candidates in countries where the Asian country has economic interests.

Aziz, a Tanzanian of Iranian extraction is representing Igunga constituency in Tanzania's Union Parliament on the platform of the CCM.

Mtikila did not say how much Aziz had allegedly received from the Iranian government for Kikwete's presidential campaign, but cited Tanzania's uranium deposit as possible motivation for the alleged assistance.

He said the Iranian government could not have given Aziz money for nothing: "they must be harbouring interests in Tanzania."

This is the second time that Aziz, Kikwete's campaign manager, would be accused of securing foreign funds for Kikwete's presidential campaign.

Last April, London-based journal, Africa Confidential claimed that he had been given two million US dollars by the Oman government as campaign funds for Kikwete.

Kikwete, Tanzania's Foreign Affairs and International Co-operation Minister had vowed to sue the journal over the report, but since his nomination as CCM presidential candidate in May, he has said nothing about the report.

The London journal has challenged him to go to court insisting it has overwhelming evidence to back its claims. There was no immediate reaction to Mtikila's allegations from either Aziz or Kikwete.
Dar es Salaam - 16/09/2005
 
Back
Top Bottom