Harusi Zingine Balaa tupu

Huko ndani ya shela jamaa anamfanya nini bi.harusi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Bwana Harusi kamkwaza Bi Harusi.
Ununi tele kwenye Harusi yao.
 
Mambo ya kuoa huku umemtisua demu wako ndiyo sasa, matokeo yake mimba haijampenda mumewe hataki hata kumuona haaaaaaah!!!
 
Hawa ni wale wa kuolewa na mimba miez minne!!!!
 

Kwa wale ambao hawajaoa bado.
Siku ya harusi is one of the most uncomfortable days in your life.
Mtu amejitundika suti na huko ndani anatokota na joto kama huyu bwana.
Halafu hata bi harusi onabidi awe kama kinuago wa kutazwa tu, akienda kinyume huko nyuma wakwe si matusi siku ya kwanza.
Jwa jaa nawahurumia maana hao hata hanemuni haimo kwenye msamiati.
 
Black and white hataki unafiki!
 
mh... hapo ndugu wa upande wa kiume wanatambulishwa na ukizingatia jamaa walikuwa hawampendi na kumtaka kabisa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…