Harusi Zingine Balaa tupu

487331_485420231485594_979668311_n.jpg


Kwani kalazimshwa huyu Mdada?
 
Huko ndani ya shela jamaa anamfanya nini bi.harusi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mambo ya kuoa huku umemtisua demu wako ndiyo sasa, matokeo yake mimba haijampenda mumewe hataki hata kumuona haaaaaaah!!!
 

Kwa wale ambao hawajaoa bado.
Siku ya harusi is one of the most uncomfortable days in your life.
Mtu amejitundika suti na huko ndani anatokota na joto kama huyu bwana.
Halafu hata bi harusi onabidi awe kama kinuago wa kutazwa tu, akienda kinyume huko nyuma wakwe si matusi siku ya kwanza.
Jwa jaa nawahurumia maana hao hata hanemuni haimo kwenye msamiati.
 
mh... hapo ndugu wa upande wa kiume wanatambulishwa na ukizingatia jamaa walikuwa hawampendi na kumtaka kabisa ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom