Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Tatizo hapo zote chai!Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Tatizo hapo zote chai!
moja majani yake ya chai nyingine ya majani yake sukari ya kukaangaMmmh watu wakorofi jamaniKing'asti yule mdogo wake Kongosho....!
Hivi kumbe bado alikuwa hajaolewa, nakumbuka nilionana naye 2010 akiwa kati ya umri wa 40's.
Hongera zenu na kwa umri wala hana janja ya kuchepuka tena.