Hapana mkuu,Mmmh watu wakorofi jamani
Hahahahhh sawa Mkuu!Mh! Mkuu Pakawa I know nothing about this story. I did not participate in any shape or form on this relationship.
Hahahahhh sawa Mkuu!
All in all JF ni kiburidisho tosha! Best place to be!
Eheee why kakutaja sasaMh! Mkuu Pakawa I know nothing about this story. I did not participate in any shape or form on this relationship.


jf ina vitukoKing'asti yule mdogo wake Kongosho....!
Hivi kumbe bado alikuwa hajaolewa, nakumbuka nilionana naye 2010 akiwa kati ya umri wa 40's.
Hongera zenu na kwa umri wala hana janja ya kuchepuka tena.

Hongera sana mkuu mtoto wa mchungaji ulifanikiwa kumpata ndugu yangu

Naona uzi umekusanya wahenga...safi sana!!!Hahaa.... just hahaa