Harusi ya Nape week ijayo Dar es salaam

Wana JF,

Kwa taaarifa sahiii kutoka kwenye chanzo chetu kutoka huko Arusha kuwa Nape Nnauye Katibu Muenezi CCM kupata jiko lake week ijayo,

Habari zinasema kuwa leo katika Mji wa Arusha katika viwanja vya General Tyre kunafanyika Send off(Party) na Bibi harusi mtarajiwa kwa jina ni Mary Massenge Sherehe hii iatanyika kuanzia jioni saaa Moja leo.

Na baaada ya Send off Week Ijayo Ndio Harusi itafanyika Dar.

Wadau hizo ndizo habari zilizo tufikia to Arusha.

Siku Njema na SEND OFF NJEMA kwa wakazi wa Arusha

kati ya wanawake waliosoma nyakati na kusoma dira n huyu Mkewe mtarajiwa blv me mwaka ujao !!!!
 
Vuvuzela Alikuwa hajaoa?Au bwabwa nini?Alikuwa anasubiri cheo cha katibu itikadi na uenezi ndio aoe sio?Mtoa mada hujatutendea haki hii sio breaking news!
 
bora aoe ataacha kidomo domo, chake.atakuwa na mawazo ya kiutu uzima.
 
Mwacheni aoe maana atafundishwa na nidhamu mbele ya watu wengine usharobalo utamtoka sasa...
 
To the best of my knowledge huyu jamaa ana mke na mtoto wa kike wa kama 3yrs hivi. Anafunga ndoa, anahalalisha ndoa, au? Kama kweli yeye anajiita ameokoka na alikuwa anaishi na kimada, basi hii itakuwa mfano mbaya ambao nadhani anajaribu kuweka mambo sawa. Hongera zake!
 
Kila la kheri Nape. Mungu awe nawe.

NB:
kuwa makini na Nchemba.
 
Huu uzushi nape alishaoa kitambo na anawatoto wawili mapacha CCm hakuna kiongozi wa juu anateuliwa bila kuwa ameoa ndo maana Nape ana busara sana.
 
Back
Top Bottom