Harusi ya Nape week ijayo Dar es salaam

Anaoa mara ngapi??huyu si ana mtu wa kitanga???najua mimi ana mtu au wameachana?????????????
 
nape alishaoa ..kisha akaanza kumnyanyasa mke wake sana tu..na hii ilitokana na tabiayake ya uhuni ....baadae akafikia hatua akamtelekeza ke na mtoto wao...mpaka sasa najua nape anatoka na yule mbunge wa singida viti maalimu amabaye anajifanya kaokoka.....
 
Mods mmelala? Toeni hii habari. Inaharibu sifa ya Jamiiforums. Soon itaanza kuonekana kama blog na mtandao wa kidaku.
 
  • Thanks
Reactions: BPM
haya ni ya kweli wakuu!???? ...kama kweli basi nakubali asili haimwachi mtu!
nape alishaoa ..kisha akaanza kumnyanyasa mke wake sana tu..na hii ilitokana na tabiayake ya uhuni ....baadae akafikia hatua akamtelekeza ke na mtoto wao...mpaka sasa najua nape anatoka na yule mbunge wa singida viti maalimu amabaye anajifanya kaokoka.....
 
nape alishaoa ..kisha akaanza kumnyanyasa mke wake sana tu..na hii ilitokana na tabiayake ya uhuni ....baadae akafikia hatua akamtelekeza ke na mtoto wao...mpaka sasa najua nape anatoka na yule mbunge wa singida viti maalimu amabaye anajifanya kaokoka.....

mbona bado yuko na mkewe na wako mwanza????
 
Wana JF,

Kwa taaarifa sahiii kutoka kwenye chanzo chetu kutoka huko Arusha kuwa Nape Nnauye Katibu Muenezi CCM kupata jiko lake week ijayo,

Habari zinasema kuwa leo katika Mji wa Arusha katika viwanja vya General Tyre kunafanyika Send off(Party) na Bibi harusi mtarajiwa kwa jina ni Mary Massenge Sherehe hii iatanyika kuanzia jioni saaa Moja leo.

Na baaada ya Send off Week Ijayo Ndio Harusi itafanyika Dar.

Wadau hizo ndizo habari zilizo tufikia to Arusha.

Siku Njema na SEND OFF NJEMA kwa wakazi wa Arusha

Nape anaoa Mchagga? Niemshtushwa Kidogo
 
Sasa ndio urafiki kati yake na Mwigulu Mchemba utafikia pazuri. Amuulize kada mwenzie pale Igunga, Mwwigulu alimla mkewe jioni kweupeeeee. Nape jiangalie sana mdogo wangu, Mwigulu noma. Halafu ulichotaka kuwafanyia wana Mwanza umfanyie na mkeo ili ufaidi jicho la ng'ombe.
 
Huyu dada na yeye ana kazi ngumu maana kidume kiongo sana na mbaya zaidi dada ni CDM damu sijui patakuwaje! Nape utulie mdogo wetu maana kumbe ulikuwa huna majukumu.

hata nami najua Nape ana mke na watoto wawili, labda kama anaongeza mke wa pili.
 
Back
Top Bottom