Sniper
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 2,008
- 949
View attachment 39547......
Jamani hii habari sio ya kweli! Jana kulikuwa na send off kweli ya maria nikiza massenge lakini bwana harusi mtarajiwa ni bwana paul makonda! Muwe mnafanya utafiti kabla hamjaandika habari za kizushi mtandaoni!

Sijui ni macho yangu au ninakengeza mbona kama Mr. Nape ana pete kidoleni au na yeye alivalishwa engagement.
Una maana Nape alikuwa bestman? kwani paul makondo alimchangua nape kama bestman? wana uhusiono wowote wa kimaisha?[Wewe Kings of Kings ulikuwepo kwenye viwanja vya general tyre kwenye hiyo sherehe? Ulimwona huyo Nape? Best man wa Paul Makonda alikuwa Godwin Gondwe]
Ndio huyu Paul MAKONDA?
[Umechanganya madesa kaka, labda hii picha ilipigwa mahali pengine na wala sio kwenye shughuli ya jana usiku!]![]()
Ndio huyu Paul MAKONDA?
[Umechanganya madesa kaka, labda hii picha ilipigwa mahali pengine na wala sio kwenye shughuli ya jana usiku!]![]()
Mimi nimeitoa humuhumu kwenye thread na kuuliza kamahuyu ndiye Paul? Kosa langu ni lipi hapo?
Hapo alikuwa bestman ila huyu dada naona anamumezea mate
Wana JF,
Kwa taaarifa sahiii kutoka kwenye chanzo chetu kutoka huko Arusha kuwa Nape Nnauye Katibu Muenezi CCM kupata jiko lake week ijayo,
Habari zinasema kuwa leo katika Mji wa Arusha katika viwanja vya General Tyre kunafanyika Send off(Party) na Bibi harusi mtarajiwa kwa jina ni Mary Massenge Sherehe hii iatanyika kuanzia jioni saaa Moja leo.
Na baaada ya Send off Week Ijayo Ndio Harusi itafanyika Dar.
Wadau hizo ndizo habari zilizo tufikia to Arusha.
Siku Njema na SEND OFF NJEMA kwa wakazi wa Arusha