Kujionyesha, kujimwambafai...
Mtajuaje Sasa...
Ndo akili zao..
Ni kweliHarusi zina kamati...ndo zinachangisha...wanaoana unaweza kuta hawana hata mbwembwe
Harusi zina kamati...ndo zinachangisha...wanaoana unaweza kuta hawana hata mbwembwe
Hizo kamati ni lazima zitakua zimepewa go on na wahusika,huwezi kuunda kamati bila idhini/baraka za wahusika ambao ndio wana ndoa.Harusi zina kamati...ndo zinachangisha...wanaoana unaweza kuta hawana hata mbwembwe
Shida ya maskini weusi wanapenda kuonekana wanazo.Habari wadau,
Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake.
Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25.
Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu.
Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa.
Mbona vijana waliofanikiwa na wenye utajiri wa mali na utajiri wa watu na connections kali hawapendi mbwembwe wameoa kwa harusi za kimya kimya.
Millard Ayo ni kijana aliyefanikiwa mwenye utajiri wa kutosha tu. Marafiki anao kibao wa kuwachangisha, ila hakufanya hivyo wakati anaoa alioa kimya kimya harusi simple ya kwenda kanisani tu na mkewe kisha kila mtu kwake. Hakuna cha ukumbi wala cha Mc garab wala nani.
Majizo nae mmiliki wa efm hivyo hivyo alioa kimya kimya, yeye na lulu kanisani tu then kila mtu kwake.
Why na kina sisi vijana maskini hatujifunzi. Yaani mtu anachukua mkopo ofisini kwa ajili ya kufanikisha harusi.
Mtu anasumbua watu michango kisa harusi.
MASKINI TUNA UJINGA MWINGI SANA
Hizo kamati ni lazima zitakua zimepewa go on na wahusika,huwezi kuunda kamati bila idhini/baraka za wahusika ambao ndio wana ndoa.
Pole mkuu. Mi waliniunga group la harusi simjui ata member mmoja wala bwana harusi.
Nikaahidi nitatoa laki 5 hafu nikaleft. Nilitafutwa aisee ova sio SMS sio kupigiwa. Akijitambulisha tu anakula block.
Sio kweli. Kama wewe upendi mbwembwe hakuna atakaekulazimisha
Swali langu kwako Je kijana millard ayo ama Dj majizo hawana watu wa kuunda kamati za harusi zao ?
Sasa unauzaje figo wakati inayohusika ni kamati?Ni ushamba tu,
Wenye pesa zao hawawezi chezea pesa kijinga, njoo kwa kina sisi sasa, nusu tuuze figo ilimradi watu wajae wale/kunywa kusaza,halafu unabaki na madeni.
Hiyo kamati iliyohaidi na isitoe??Sasa unauzaje figo wakati inayohusika ni kamati?