Harusi ya Joti Katika Kanisa Katoliki Magomeni

Isee wewe ni mjinga sana, wanaochafuwa ukristo ni wale maparoko wanaobaka na kuvilawiti vivulana.
hizo ni fikra zako wewe kilaza hivi hujui mambo mengine yanatengenezwa tu ili kuhamishana kikazi basi kilaza wewe unajua kwelii ukiulizwa uliwaona live utatoa jibu???! au ndio wale nyumbu fata upepo tu amka wewe
 
Mahusiano ya yeye kuoa na kuwa na kiduku.
Kinamletea madhara gani kiduku, styke ya kunyoa hauna mahusiano na kuulithi uzima wa milele kwa sababu ni masuala ya utamaduni na fashion na si masuala ya Mungu.
Mungu hajawahi kuwa na mahusiano na mwonekano huangalia yaliyondanj yetu.
Tumwombee adumu vyema katika ndoa.
Kazi yake ya usanii inataka awe hivyo kama identity yake hawezi katazwa kusali kwasababu tu anakiduku labda kama kinamadhara yoyote kiimani
shangilia sana ndugu yangu wote tunaujua usasa huo but nyumba ya ibada iheshimiwe kidogokidogo huzaa kikubwa ok
 
sawazisha kawaida coz hata wife wake mstaarabu sana kwanini hakumshauri bwana wake mwanamke mzuri kinoma but kwa hilo alizubaa
Huyo ni msanii, ni comedian, n.k
Huo mwonekano ni part ya kazi zake, hakuna shida hapo
 
Back
Top Bottom