Harusi iliyonigusa Jumamosi hii

Harusi iliyonigusa Jumamosi hii

Hujaelewekaa we vp kulia ndo usafii !! Acha kudanganyaaa umaaa hapa
 
Kulia si usafi. Yawezekana machozi yalisababishwa na
1. Kapigwa kalenda mwaka wa nane nwishowe kaolewa.
2. Hajiamini kama anaweza kuwa na mwanaume wa hadhi hiyo.
3. Kaachika mara kumi na tisa ya ishirini kabahatika
4. Anahisi kaukata
5. Furaha kutokana na labda walikuwa wanataniana siku hiyo ikifika itakuaje na kweli ikatokea
 
Kulia kunaweza kuwa ni maonesho pia!

Tumbo kutovimba haimaanishi hana mimba!

Kutovimba tumbo haimaanishi hawajazini!

Pengine analia kwakuwa hakutegemea kuolewa na ndio ameitafuta kwa muda mrefu!
Kulia wakati wa harusi ni moja ya fashion ya mabinti walio wengi

Wakoraaah!!!
 
wengine wanalia kwa kumuonea huruma bwana harusi kwamba kaangia choo cha kichina

Kaboom;
Nakuunga mkono hapo. Au aliwahi kumwona jamaa akisusuuu mahali akauona ule mche. Mawazo yakamjia kuwa leo, mbona itakuwa kilio?? Sio (Purity) nakataa. Kwani hajui hata aki do huko, bado atakuwa pure?
 
Huyo binti aliyemwaga chozi huenda ni above thirty na haamini kama kweli ameolewa... We usicheze na ndoa miaka hii kuolewa ni bahati kwa kweli... Wengi wametundikwa mimba na kuishia kuwa single mothers...
 
Ahaaaaa watu na vijicoment vyenu. Ahaaaaa siku ya harusi yangu nitalia ndoo nzima, iwe ni ishara ya kumisi vitu ka jf na kumuhudumia huby. Tena mashoga zangu ntawamis maana nitamisi umbea fulani hivi mwisho nitamis harakati za cdm yaan nahisi ntakuwa busy sana hapa lazima nidondoshe chozi etc ahaaaaa!
Mhmmmmm!, Kumbe bado!!!.
 
Viongozi Wa Dini Sometimes Wanapiga Siasa, Ili Kufanya Jambo Livutie Kwenye Shughuli Ili Washiriki Wajisikie Faraja Badala Ya Kuliacha Tu Likaacha Maswali. Kwa Upande Mwingine Kuna Msichana Best Angu Aliwahi Kuniambia Wanaume Tunavutiwa Zaidi Na Wanawake Naive Katika Mapenzi, Na Wanao Act Washamba Kimtindo.
 
Inawezekana analia coz haamini kwamba at last wamefunga ndoa. Maana siku hizi hadi ndoa ifungwe si shughuli ndogo. . Machozi ya furaha, kwamba "yeah at last he is mine" etc. Afu mabinti tuna emotions sana, so ni mambo ya kawaida tu. Harusi nyingine naonaga hadi na bwana harusi wanakumbatiana na mkewe wanalia kwa furaha
 
Du! Bado natafuta connection ya kulia na usafi (purity). Analia kwasababu anahofia kinachoenda kutokea honeymoon, analia kwa furaha ya kumpata mume? Analia kwakuwa kapata uhuru toka mateso ya wazazi? Analia akikumbuka alivyotendwa na ndoa haikuwepo au? Just thinking out loud

Analia kwa sababu kila mtu hapo pamoja na wazazi wanajua atakachofanywa usiku huo.
 
Kulia si usafi. Yawezekana machozi yalisababishwa na
1. Kapigwa kalenda mwaka wa nane nwishowe kaolewa.
2. Hajiamini kama anaweza kuwa na mwanaume wa hadhi hiyo.
3. Kaachika mara kumi na tisa ya ishirini kabahatika
4. Anahisi kaukata

ha ha haaaa
 
Acha tuonekana wachafu tuu kuliko kudondokwa na kope
 
Huyo mhubiri ndiye msanii. Nilidhani angetafuta nafasi aulize ili kupata ukweli.

Ana uhakika gani kama bibi harusi hakulia kwa kusikitika kwamba hatajitusha tena na wapambe wake?
 
so machoz ni ishara ya bibi harus bikra??


maana dot com tunaoana watu tuna msururu wa ma x wanajaza yutong.. amemegwa/mega mtaani kwao, chuoni, kazini, kwa ndugu,kazini, kanisani, yaani kila alipowai kuishi ana mtu aliyemmega au kumegwa

hii sasa hatari mpaka afike utu uzima si itakua treni siyo yutong tena
 
Wataanza kulia kwa spidi ya Magufuli
 
Back
Top Bottom