Harusi iliyonigusa Jumamosi hii

Harusi iliyonigusa Jumamosi hii

mbona wema sepetu kwenye muvi huwa analiaga .........nae pia inaelekea ni msafii eeeh?! bikra.
 
Kuna mahali ameandika wachungaji hapo juu au ni chuki zako kwa wachungaji?
usicholielewa hapo ni kipi?
kasisi au mchungaji
hawa Wachungaji wote ni FIX kama watasifia wanandoa madhabahuni wakati wiki nzima apo nao katika mafundisho ya ndoa
bado maharusi walikutana katika Send-off wakaonana wanamega keki au apple KWANINI LEO ALIE kanisani?
Jumamosi hii nimehudhuria ibada ya ndoa
Akiendelea na mahubiri Kasisi alikiita kitendo kile cha kutokwa na machozi cha bi arusi, kama ishara ya usafi, uadilifu, malezi na makuzi mema, ambayo binti amekua nayo katika kipindi cha maisha yake.

Aidha aliendelea kuwa enzi hizi ndoa nyingi ni kama maonesho au fashion ndio maana imekuwa kawaida kuona ndoa inafungwa na bibi arusi ni mjamzito, bibi arusi kuingia madhabahuni na nguo za aibu akiwa nusu uchi, ndoa nyingi kutodumu maana upendo wa Ki-Mungu haupo tena bali upendo wa vitu na unafki na kadhalika.


Nadhani lipo zuri la kutafakari hapo!
 
so machoz ni ishara ya bibi harus bikra??


maana dot com tunaoana watu tuna msururu wa ma x wanajaza yutong.. amemegwa/mega mtaani kwao, chuoni, kazini, kwa ndugu,kazini, kanisani, yaani kila alipowai kuishi ana mtu aliyemmega au kumegwa
Kaazi kweli kweli duh!!
 
Kulia si usafi. Yawezekana machozi yalisababishwa na
1. Kapigwa kalenda mwaka wa nane nwishowe kaolewa.
2. Hajiamini kama anaweza kuwa na mwanaume wa hadhi hiyo.
3. Kaachika mara kumi na tisa ya ishirini kabahatika
4. Anahisi kaukata
umenivunja mbavuuu
 
Huyo mchungaji hawajui Bongo movie ambao wana uwezo hata wa kuigiza kuzimia.
 
Unaweza kukuta huyo pasta nae kishatafuna bi harusi kitamboooo anamuweka sawa kisaikolojia bw harusi
 
pengine mwenzenu alikukuwa anaulilia mchepuko wake kuwa hatoweza kuuona freely tena nyie menga'anga'nia usafi
 
Haya mambo ya kulia ni ujinga wakati mwingine.. Eti Bwashee wangu siku amekuja kutoa mahari nyumbani basi dada yetu kuitwa pale na baada ya kulipa jamaa akaanza kulia... Kwa Kweli nilishangaa sana. Unaliaje ukiwa ukweni!? Tena umeenda kuoa wala si msiba!!!
 
Nimecheka sana kwakweli. Hii dunia inamambo mengi sana. Anayefahamu ukweli wa machozi yale ni Mungu tu.
 
Haya mambo ya kulia ni ujinga wakati mwingine.. Eti Bwashee wangu siku amekuja kutoa mahari nyumbani basi dada yetu kuitwa pale na baada ya kulipa jamaa akaanza kulia... Kwa Kweli nilishangaa sana. Unaliaje ukiwa ukweni!? Tena umeenda kuoa wala si msiba!!!
Mmmh !! C'O umenichekesha.... hicho kilio cha furaha au Msiba!!!!
Lakini nyumba nyingi kuna siri nzito...na mazoea mazito!! sasa kutengana na wanafamiliya ndo... hupelekesha deep feelings!!
Shmy happiness zingine hadi full machozi ..!!!
 
Last edited by a moderator:
Inachekesha hizi comments zilivyo katika mlengo wa negativity hahahahahaha..

Wasichana/wanawake ni watu wenye emotions sana. Inawezekana kabisa amekua moved na hilo, pengine anampenda sana mume wake she just couldn't hold it in jinsi anavyofurahi na kushukuru kuolewa na mwanaume wa maisha yake.
Mbona ni kawaida tu.... I remember cried in my graduation when I huged mama after kutunukiwa. It's just emotion, happiness,......
 
Back
Top Bottom