Harusi hii ilifana sana!!!

Harusi hii ilifana sana!!!

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,530
1473106266455.jpg
 
Bwana harusi kagonga raba na suti kweli ilifana nazani hii nikorea kaskazini
 
Huu msemo nauskia Sana, naomba udadavuzi wake mkuu...
Mwisho wa siku kinachoangaliwa ni matokeo bila kujali chanzo
Kwa mfano hapo vyovyote iwavyo mwisho wa siku ni ndoa na watu wameoana tena kwa karamu kubwa
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Mwisho wa siku kinachoangaliwa ni matokeo bila kujali chanzo
Kwa mfano hapo vyovyote iwavyo mwisho wa siku ni ndoa na watu wameoana tena kwa karamu kubwa
Anhaa shukrani Sana mkuu.
 
Back
Top Bottom