Kuna mazingira ni shida,sidhani kama wanafaidi hasa mkumbatiano waoUnahisi hawajawahi kukumbatiana
Alafu hawa jamaa kwa kuishi umri mrefu balaa,usikute uyo bwana harusi ana 70 years apo.
Dah,uyo Bestman icho kizibao kama mtoza ushuru wa stendi Ubungo.Just kidding!
Tunaangalia majibu/ mafanikio na sio amefanyaje mpaka akafikia majibu au mafanikio husika, hata kama ulifikia hapo kwa njia batili. The end justify the meansHuu msemo nauskia Sana, naomba udadavuzi wake mkuu...
[emoji23][emoji23]Ahhh kumbe una maana sana, umenikumbusha maana za nahau na methali.Tunaangalia majibu/ mafanikio na sio amefanyaje mpaka akafikia majibu au mafanikio husika, hata kama ulifikia hapo kwa njia batili. The end justify the means