Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
- Thread starter
-
- #21
Watu wanaendekeza utamu wanasahau hata kupima.. wengine wanadharau tu kana kwamba hiv ni hadithi
Kusema kweli sijawahi kushuhudia harusi ambayo bibi harusi anaolewa hana mimba au hajazaaa..
Sasa kama mtu anaolewa tayari ameshazalishwa au na mimba ya nini kupima vvu wakati mzigo wameshapeana sana hadi kuzalishana?
Kizazi cha dot com na mdogo wake digitali Mungu atuhurumie kwa kweli
watu wapime nini wakati washabanjuana kavukavu siku nyiiingi.
On a serious note, kupima muhimu sana basi tu ni uzembe.
Kuna dada mmoja alifoji cheti cha HIV wakati anajifahamu ni HIV+, akaolewa na kijana wa watu.
Matokeo yake, wote kwa sasa wameshatangulia mbele ya haki.
Hata mtu anayejifahamu ni HIV+ alinde wanamzunguka, kuwaambukiza watu kusudi it's very unfair jamani.
Mkuu Kongosho wanikumbusha classmate wangu mmoja alitangulia mbele za haki mwaka 2009. Wakati anafunga ndoa alikuwa na kila dalili za kuwa na HIV+. Aliolewa hivo hivo, nikamshangaa jamaa alikuwa na upofu gani maana hata hakuona dalili zilizokuwa wazi!
Mbaya zaidi jamaa alikuwa anamfatilia yule dada toka tukiwa O-level akawa anakataliwa hadi sometime alipokuwa chuo ndipo dada akamkubali kumbe kishaambukizwa.
Nilimuonea huruma sana jamaa maana kwenye msiba alikuwa anazimia, kila akizinduka anazimia.
Mbaya sana, mi nasema kupima siyo solution, dawa ni kubadili tabia basi!
Tatizo unakuta kabla hata ya kufunga ndoa hawa wawili washabanduana vya kutosha na wamekuwa mwili mmoja kitambo ndoa inakuwa kuja kuofficiate tuu!
Nashauri watu wapime wakati wakiwa wachumba kabla ya kuanza kubanduana otherwise ngoma soo
MKATA KIU ile harusi yako lini mkuu?umeshapima? mmezaa au bibi harusi ana mimba?
kupima sio kazi kimbembe kuchukua majibuni kweli
afu kupima hata dk 5 haziishi ila watu wabishi kweli
wakati ni kwa faida ya wote
mtu mwingine anaweza kuwa HIV+ na hajijui, ila anaposhauri kupima anaonekana 'mnoko'
kweli nadhani huu upimaji kabla ya mahusiano upewe msisitizo zaidi.
lakini Smile si unajua siku hizi watu lazima wapimane viwango kwanza kabla ya kupeana usajili wa kudumu...sasa utakuta kabla ya ndoa tayari washacheza mechi za kutosha tu bila chiniguardsio wakati wa kufunga ndoakabla ya kuanza mahusiano watu waende kupimadkk 3 tu majibu tayari ILA UAMINIFU NDO SWALA LA MUHIMU MAANA VVU VIPO ZAIDI KWA WANANDOA JIULIZE WHY?
kupima sio kazi kimbembe kuchukua majibu
sio wakati wa kufunga ndoakabla ya kuanza mahusiano watu waende kupimadkk 3 tu majibu tayari ILA UAMINIFU NDO SWALA LA MUHIMU MAANA VVU VIPO ZAIDI KWA WANANDOA JIULIZE WHY?
tena hata siku za mwanzo zenyewe sijui hata zinazidi tatu.....utasikia kondomu ya nini hatuaminiani auKondomu zinadanganya san watu.. wanatumia siku za mwanzo lkn wakizoeana wanatupa kule..